VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

Sijasoma mzumbe ila wametumia kigezo gani iwe ya 13?

The Hubert Kairuki ipo ndan ya vyuo mia bora kwa Africa sikumbuki niyangapi kipo chenyewe na UDSM..Kwahiyo kwa rank za Africa kwa Tanzania kitakuwa cha pili y hapo kipo cha nne?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Kila mtu atasema kuvutia wadau!.
 
Hiyo siyo rank on the basis of quality bali ni list tu kutokana na jinsi zilivyoorodheshwa no more. Kama ingepangwa kwa umakini basi UDOM ilitakiwa ishike namba ya mkiani kwani is the Only UNIversity inayotoa degree za Uchangudoa!!!

kama ma.ma.ko!ongelea hoja acha kuleta matusi humu,tunayajua pia...nikweli kila chuo kinachangamoto zake zinachokifanya kiwe tofauti nakingine lkn sio kutukana matusi pumbav.u ww!
 
Badala ya kuulizia vigezo nyinyi kulalamika kana kwamba chuo chako.Wabongo kila kitu kulalamika tu mwenzenu ameokota kwa web.
 
Badala ya kuulizia vigezo nyinyi kulalamika kana kwamba chuo chenu.Wabongo kila kitu kulalamika tu mwenzenu ameokota kwa web.
 
TEKU nyie kata mbuga tuu maana watu waliwaona hamfahi lakini ukweli unaanza kuonekana, japo ni ya 10 lakini cyo mbaya.
 
ha tangu lin agustine wakaipita mzumbe mtoa mada wajielewa wewe kweli au huo ndo mwisho wa mawazo yako?????????????????????????????????????????????????????????:hand:
 
ha tangu lin agustine wakaipita mzumbe mtoa mada wajielewa wewe kweli au huo ndo mwisho wa mawazo yako?????????????????????????????????????????????????????????:hand:

Hata miongono mwa wajinga kuna wa mwanzo na wa mwisho.
 
Kama n kwa kigezo cha digrii za chupi sawa! Open university mizania yake ya juu sana halafu eti hakipo,,, kuna mijitu bado inaakili mgando inadhan elimu ya chuo kikuu mpaka ikakae bwenn na igombanie boom'''' dunia inawacha'''' kwa ulaya sasa hvi mfumo wa open ndo uko juu na wanafunzi wake wanamarket kuliko wanaosubir kulishwa kila kitu
 
Sijasoma mzumbe ila wametumia kigezo gani iwe ya 13?
Hizo masters degree za Dar campus zimekishushia sana hadhi hicho chuo. Siku hizi mtu akitaka kuipata masters degree bila shida anaji.enroll MU Dar campus!
 
Kama n kwa kigezo cha digrii za chupi sawa! Open university mizania yake ya juu sana halafu eti hakipo,,, kuna mijitu bado inaakili mgando inadhan elimu ya chuo kikuu mpaka ikakae bwenn na igombanie boom'''' dunia inawacha'''' kwa ulaya sasa hvi mfumo wa open ndo uko juu na wanafunzi wake wanamarket kuliko wanaosubir kulishwa kila kitu
Ulaya ipi hiyo?
 
Back
Top Bottom