VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

Apo tuseme hata ww ukikaa kwako unaeza jichagulia vyuo bora mkuu!!! Poor selection

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ubora uko kwenye nini? majengo? mapr? wingi wa wanafunzi....vigezo vitangulie kwanza, kitu hiki kinajirudiarudia, au ndo educational politics!
 
UNAIJUA HATA HAVARD WEWE?HAMNA CHUO TZ CHA KUFANANISHA NA HAvard..ni sawa na kujiita obama wa tz,akikusikia atakushangaa sana
 
Kwa mzumbe hiyo namba 13 ni stahili kabisa hasa kwa masters mbaya kabisa. Waulize waliosoma pale.

hao wanaosema masters za muzumbe hawajielewi.mbonawengine hawalalamiki,duniani kuna w hata uwape kitu gani kulalamika hawataacha,au wanataka majengo yaboreshwe?alaf wao ni tcu?au nacte?alaf wewe unaesema hivyo nnashaka ni first year au undergraduate tu,pole sana jipange na uje na point
 
ubora uko kwenye nini? Majengo? Mapr? Wingi wa wanafunzi....vigezo vitangulie kwanza, kitu hiki kinajirudiarudia, au ndo educational politics!

yaani hizi maada zinaboa sababu wanazirudiarudia,kama vipi wazitafute za miaka ya nyuma waziendeleze bwaana,wanaboa,au ndo wanajifunza kuandika poat
 
Ni vigezo gani vilvyotumika ku-rank ubora wa chuo?
 
Ninachokiona hapa,watu wengi wanaponda hiyo ranking kwasababu hawajaridhishwa na nafasi vilivyopo vyuo vyao.

Kumponda mtoa mada haisaidii,ndio maana umepewa linki ili ujihakikishie wewe mwenyewe.Kama una rank nyingine ya

kuipinga hiyo hapo juu ni vyema ukatupa pamoja na linki yake. Baadhi mnataka rank iandike 'academically', kwakweli

nawashangaa,hivi kwa mfano FIFA ikitoa rank ya dunia huwa inaandikaje,wote tunajua FIFA is about world

football,doesitneed waste words. Hivyo hivyo kwa vyuo vikuu,inapotoka rank yao ujumbe tunaoupata ni kwamba ubora

waoacademically pamoja na miundopmbinu ya kufanikisha maendeleo ya kitaaluma kwa mfano,mmadarasa ya

mihadhara,maktaba, maabara kwa vyuo vya sayansi,uwepo wa wahadhiri wenye vigezo n.k. Kwa upande Hubert

Kairuki ni bora ndio maana kipo cha nne, lakini jambo lingine tunalopaswa kulikumbuka ni kwamba hizi ranking huwa

zinabadilika mara kwa mara hususani baada ya mwaka,kwahiyo tusikaririshwe tukakomalia rank ya mwaka juzi au jana

wakati mwaka huu pia kuna rank mpya.
 
UNAIJUA HATA HAVARD WEWE?HAMNA CHUO TZ CHA KUFANANISHA NA HAvard..ni sawa na kujiita obama wa tz,akikusikia atakushangaa sana

kwel sjaona boya kama wewe pumb...fu, we ushaambiwa vyuo bora tz afu we unaleta habari za havard apa iv we mwanachuo au uko o,level...
 
lkn ajira wote tutapa soma kizembe useme chuo bora utaruf kwenu.
 
Siamini kwamba Muslim University of Morogoro kimeishinda International Medical and Technological University. Nadhani MUM kilipaswa kuwa cha mwisho kabisa kwani kimezidi uislamu (udini)
 
kwel sjaona boya kama wewe pumb...fu, we ushaambiwa vyuo bora tz afu we unaleta habari za havard apa iv we mwanachuo au uko o,level...

wewe kijana huelewi .achakurukia.HIYO WEBMETRICS IMEBASE KWENYE NINI?AU UNARUKIA BAADA YA KUANGALIA KWA MAKINI
 
ha ha bugando ni st augustine .ujue kuanzia leo
Bugando is independent University, inaitwa: Catholic University of Health and Allied Sciences. It is no longer part of St. Augustine University.
 
akijulie wapi huyo.. ni Institute ila imekanyaga vyuo kwa ubora
Universities or Institutes vyote ni vyuo vya Elimu ya juu. Institutes nyingi zinasimamiwa na Bodi ya Itibathi ya Elimu ya Ufundi (National Council for Technical Education-NACTE) na carriculum yao ni competent based oriented wakati vyuo vikuu vipo chini ya usimamizi wa Tanzania Commission for Universitite-TCU. Lakini pia si Institute zote zipo chini ya NACTE, mfano Nelson Mandela African Institute of Science and Technology ipo chini ya TCU japo ni Taasisi. Kisheria taasisi ndizo zinazoruhusiwa kutoa elimu ya kuanzia ngazi ya Cheti hadi PhD wakati vyuo vikuu vinatakiwa kuanzia level ya degree lakini katika uhalisia hivi haviko hivo ndo maana ukifika pale Mzumbe kuna vijana wanakandamiza cheti lakini atakuambia na yeye yupo Chuo kikuu. Lakini pia kuna baadhi ya Taasisi vinatoa elimu kuanzia ngazi Masters mfano mzuri ni Nelson mandela African Institute of Science and Technology. Hivyo msibishane kuwa aliyeko Chuo kikuu ni bora kuliko aliyeko Taasisi ya Elimu ya Juu au aliyekoTaasisi ni bora kuliko aliyeko Chuo kikuu ingawa kimsingi aliyeko Taasisi alitakiwa awe bora maana carriculum yao ni competent based.
Zingatia unachofundishwa ili mje kuisaidia nchi baada ya kuhitimu elimu yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…