VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

Mkuu somo la Jiografia darasa la sita na la saba lilikupita kushoto..? Tafuta Atras ambayo top cover anaonekana JK Nyerere kashika mwenge ukiisoma yote na kuielewa huna haja ya kukaa darasani kuhuku geography
 
ha tangu lin agustine wakaipita mzumbe mtoa mada wajielewa wewe kweli au huo ndo mwisho wa mawazo yako?????????????????????????????????????????????????????????:hand:

acha ufala ww, mzumbe ndiyo ki2 km elimu yao ya kubabaisha kitakuwa hadi cha mwisho. saut baba laooo!!
 
hilo ndio la muhimu kwan vingine ni mbwembwe 2 kwan huwez kusema chuo fulan ni bora kuliko kingine huku mkikutana kazini na chuo chako ulichoona bora unakuwa hana ki2!
 
hilo ndio la muhimu kwan vingine ni mbwembwe 2 kwan huwez kusema chuo fulan ni bora kuliko kingine huku mkikutana kazini na chuo chako ulichoona bora unakuwa hana ki2!

there will never be a 2 dollar cigar!!
 
Hiuo orodha ni kwa kozi, kitivo, au kwa jumla? Nauliza hivyo kwa kuwa kuna baadhi ya Vyuo Vitivo au kozi fulani fulani huwa bora kuliko vingine. Mfano, enzi za IDM Mzumbe; wanafunzi wao wa Uhasibu ndio waliokuwa bora zaidi Tanzania kuliko hata UDsm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…