Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,337
kwani tofauti na vyuo ivo kuna vyuo vingine katika fani ya biashara ?? au tule tu vyuo twingne natwo tunatazaliwa experts??Tatzo madogo walio kwenye tuvyuo twingne hawataki kusikia ukweli...mwajiri kama crdb, tra,utumishi wakitoa takwimu ni bora tukubali tu. Wengine wanabeza eti mwajiri crdb??ivi kwenye sekta ya mabenki kuna benki inatangaza mara kwa mara ajira zaidi ya crdb??lets be fair,hata tufanye vijiresearch vidogo kama ivo...ila mleta mada,mbona ujumbe wako una hang hata haijulikano umetoa wapi?au ndo ushabiki wa vyuo umerudi tena??