Vyuo vikuu 7 bora kwenye masomo ya biashara na uchumi hapa tanzania.

Vyuo vikuu 7 bora kwenye masomo ya biashara na uchumi hapa tanzania.

kwani tofauti na vyuo ivo kuna vyuo vingine katika fani ya biashara ?? au tule tu vyuo twingne natwo tunatazaliwa experts??Tatzo madogo walio kwenye tuvyuo twingne hawataki kusikia ukweli...mwajiri kama crdb, tra,utumishi wakitoa takwimu ni bora tukubali tu. Wengine wanabeza eti mwajiri crdb??ivi kwenye sekta ya mabenki kuna benki inatangaza mara kwa mara ajira zaidi ya crdb??lets be fair,hata tufanye vijiresearch vidogo kama ivo...ila mleta mada,mbona ujumbe wako una hang hata haijulikano umetoa wapi?au ndo ushabiki wa vyuo umerudi tena??
 
Hahahaaaa mpigamsuli povu linamvuja....ataua mtu leo mumemnawa na muccobs yake
 
Last edited by a moderator:
Hebu tutajie jina la huyo afisa unayemtaja?? ,, uongo mtupuuu huyo afisa wa mwajiri wa CRDB hawezi kuongea na mtu kama wewe ,, kwani ubora unapimwaje? , benki ya CRDB? ,,Basi MUCCoBS Inakubalika na waajiri wa taasisi kama>,NMB,BoT,STANDARD CHARTED BANK ,EXIM BANK,KCB,DIAMOND TRUST BANK,TANZANIA POSTAL BANK ,
MPIGAMSULI huyu mleta mada anataka kupata kirambasi
 
Back
Top Bottom