Vyuo vikuu 7 bora kwenye masomo ya biashara na uchumi hapa tanzania.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
1.udsm
2.mzumbe
3.ifm
4.Tia
5.IAA
6.Udom
7.Cbe
source:afisa mwajiri mkuu,bank ya CRDB.
 
Jaribuni kujilinganisha na vyuo vingine vya nje..
 
1.udsm
2.mzumbe
3.ifm
4.Tia
5.IAA
6.Udom
7.Cbe
source:afisa mwajiri mkuu,bank ya CRDB.

Hebu tutajie jina la huyo afisa unayemtaja?? ,, uongo mtupuuu huyo afisa wa mwajiri wa CRDB hawezi kuongea na mtu kama wewe ,, kwani ubora unapimwaje? , benki ya CRDB? ,,Basi MUCCoBS Inakubalika na waajiri wa taasisi kama>,NMB,BoT,STANDARD CHARTED BANK ,EXIM BANK,KCB,DIAMOND TRUST BANK,TANZANIA POSTAL BANK ,
 
Acha kupotosha BoT hawachukui vilazaa..! Otherwise baba yako awe afisa mwajiri serikalini
onyo citaki malumbano
 
Last edited by a moderator:

kesho usiludie ku post pumba kama hizi!
 
Hebu tutajie jina la huyo afisa unayemtaja?? ,, uongo mtupuuu huyo afisa wa mwajiri wa CRDB hawezi kuongea na mtu kama wewe ,, kwani ubora unapimwaje? , benki ya CRDB? ,,Basi MUCCoBS Inakubalika na waajiri wa taasisi kama>,NMB,BoT,STANDARD CHARTED BANK ,EXIM BANK,KCB,DIAMOND TRUST BANK,TANZANIA POSTAL BANK ,

unataka nkutajie jina lake ili ukampigie magoti akuajiri au?BOT hakunaga kilaza yeyote kutoka muccobs,nyie nenden mkawe makarani huko vijijini kwenye saccoss!
 
MUCCOBS ndio chuo bora cha biashara!! Harvard of Africa..... Sio hzo institues, cjuw mleta uzi hajui maana ya vyuo na taasisi!!!! Haaaaa haaaa
 
Kuna umuhimu kwa Administrators wa Jamii Forum kuanzisha jukwaa la "Vyuo bora vinavyotoa........"
 
Acha kupotosha BoT hawachukui vilazaa..! Otherwise baba yako awe afisa mwajiri serikalini
onyo citaki malumbano

-------- kabisa wewe eti bot hawachukui vilaza ,mtu kafanya interview vizuri kwa nini asipewe ajira mngese mkubwa wewee
 
Last edited by a moderator:
unataka nkutajie jina lake ili ukampigie magoti akuajiri au?BOT hakunaga kilaza yeyote kutoka muccobs,nyie nenden mkawe makarani huko vijijini kwenye saccoss!

Hili jamaa jinga kweli ndio maana kukawa na interview ,kama jitu limeenda kulala chuo halisomi unategemea ataweza interview? ? ni kichwa chako tu kama kibovu ni kibovu tu hata usomee wapi
 
Back
Top Bottom