Vyuo Vikuu anzisheni Benki yenu

Vyuo Vikuu anzisheni Benki yenu

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
1. Katika taasisi yenye transaction nyingi kila wakati ni vyuo vikuu (Ada, pesa za research, donations, grants na government subsidies) kwanini msiwe na Benki yenu wenyewe badala ya kutegemea benki baki? Mna Maprofesa, wanafunzi mahiri na mtandao mpana kila kona nchini.

2. Wateja ni wanafunzi na wafanyakazi wa vyuo tajwa (Kama makanisa yameweza kuanzisha benki sembuse nyie?)

3. Njia hi itaokoa pesa nyingi sana kwenye gharama za uendeshaji wa akaunti kwenye mabenki mengine.
 
Hata mimi nashangaa chuo kikuu hakina hata kiwanda, hakina benki, hakina kampuni yoyote inaku
1. Katika taasisi yenye transaction nyingi kila wakati ni vyuo vikuu (Ada, pesa za research, donations, grants na government subsidies) kwanini msiwe na Benki yenu wenyewe badala ya kutegemea benki baki? Mna Maprofesa, wanafunzi mahiri na mtandao mpana kila kona nchini.

2. Wateja ni wanafunzi na wafanyakazi wa vyuo tajwa (Kama makanisa yameweza kuanzisha benki sembuse nyie?)

3. Njia hi itaokoa pesa nyingi sana kwenye gharama za uendeshaji wa akaunti kwenye mabenki mengine.
Havikuanzishwa kwaajili hiyo, Vitaanza kupotea kwenye lengo
 
Wanachojua wahadhiri ni kudhalilisha watoto wa kike kwa kuwashawishi wawape rushwa ya ngono basi, hayo mengine hayawahusu.
 
Benki kibao za kibongo nina wasiwasi nazo sembuse benki ya chuo. Hiyo si ni kama Saccos au Microfinance ambako siwezi weka imani yangu uko.

Kuwa na utitiri wa benki ni upuuzi wa kiuchumi. Taasisi za kifedha ziwe nyingi kiasi na zisiwe centralized basi. Mambo ya kila sekta, taasisi, kada kuwa na benki mtakuja kuvuruga uchumi kama chanzo cha GED miaka ya 1920s.
 
Waanze kwanza kuboresha ufundishaji wao
Yap watuwekee mitaala mingi ya kumwezesha mhitimu kujiajiri mwenyewe badala ya kutegemea kuajiriwa, hii itapunguza sana mzigo mkubwa wa Serikali yetu kuajiri
 
1. Katika taasisi yenye transaction nyingi kila wakati ni vyuo vikuu (Ada, pesa za research, donations, grants na government subsidies) kwanini msiwe na Benki yenu wenyewe badala ya kutegemea benki baki? Mna Maprofesa, wanafunzi mahiri na mtandao mpana kila kona nchini.

2. Wateja ni wanafunzi na wafanyakazi wa vyuo tajwa (Kama makanisa yameweza kuanzisha benki sembuse nyie?)

3. Njia hi itaokoa pesa nyingi sana kwenye gharama za uendeshaji wa akaunti kwenye mabenki mengine.
Wakati muafaka. Ndio ubunifu wenyewe!
 
Mtaua uchumi kwa mawazo haya, heri tuwe na bank chache ila zilizo stable na zenye sustainability kubwa in future.
 
1. Katika taasisi yenye transaction nyingi kila wakati ni vyuo vikuu (Ada, pesa za research, donations, grants na government subsidies) kwanini msiwe na Benki yenu wenyewe badala ya kutegemea benki baki? Mna Maprofesa, wanafunzi mahiri na mtandao mpana kila kona nchini.

2. Wateja ni wanafunzi na wafanyakazi wa vyuo tajwa (Kama makanisa yameweza kuanzisha benki sembuse nyie?)

3. Njia hi itaokoa pesa nyingi sana kwenye gharama za uendeshaji wa akaunti kwenye mabenki mengine.
Kwani wanafunzi wa chuo wamepata changamoto gani mpaka waanzishe bank yao.?? Je bank zilizipo hazikidhi matakwa yao.?
Baadae utasema
Shule za sekondari waanzishe bank yao
Askari waanzishe benki yao
Madakatari waanzishe yao
Madereva waanzishe yao
Mama ntilie waanzishe yao
Mabaharia waanzishe yao
Wakuu wa wilaya waanzishe yao
 
1. Katika taasisi yenye transaction nyingi kila wakati ni vyuo vikuu (Ada, pesa za research, donations, grants na government subsidies) kwanini msiwe na Benki yenu wenyewe badala ya kutegemea benki baki? Mna Maprofesa, wanafunzi mahiri na mtandao mpana kila kona nchini.

2. Wateja ni wanafunzi na wafanyakazi wa vyuo tajwa (Kama makanisa yameweza kuanzisha benki sembuse nyie?)

3. Njia hi itaokoa pesa nyingi sana kwenye gharama za uendeshaji wa akaunti kwenye mabenki mengine.
CRDB wakala na NMB wakala anatosha ku solve ilo tatizo
 
Benki kibao za kibongo nina wasiwasi nazo sembuse benki ya chuo. Hiyo si ni kama Saccos au Microfinance ambako siwezi weka imani yangu uko.

Kuwa na utitiri wa benki ni upuuzi wa kiuchumi. Taasisi za kifedha ziwe nyingi kiasi na zisiwe centralized basi. Mambo ya kila sekta, taasisi, kada kuwa na benki mtakuja kuvuruga uchumi kama chanzo cha GED miaka ya 1920s.
Unaandika vitu shaghala-baghala.
UDSM kuwa na benki kuna haribu vipi uchumi wa nchi?

Labda ungesema kwamba sio "core business" ya university hapo ungeeleweka.
 
Bank mbali huko unakuta Chuo cha maji na hakina maji au vyuo vyenye course za umeme na umeme hakuna au unakatika hovyo havina mbadala wowote solar au kitu kingine chochote cha kuwawezesha kupata Umeme kwa kutumia fani yao...
 
Back
Top Bottom