connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
1. Katika taasisi yenye transaction nyingi kila wakati ni vyuo vikuu (Ada, pesa za research, donations, grants na government subsidies) kwanini msiwe na Benki yenu wenyewe badala ya kutegemea benki baki? Mna Maprofesa, wanafunzi mahiri na mtandao mpana kila kona nchini.
2. Wateja ni wanafunzi na wafanyakazi wa vyuo tajwa (Kama makanisa yameweza kuanzisha benki sembuse nyie?)
3. Njia hi itaokoa pesa nyingi sana kwenye gharama za uendeshaji wa akaunti kwenye mabenki mengine.