Kuna wengine walikuja dar mara ya kwanza kwa ajili ya kujiunga na chuo otherwise wangeendelea kukaa MIKOANI.Kurundika wasomi wote wasome Dar kuna changia mazingira ya ushawishi wa vijana ambao wanatoka mikoani kutoshawishika na mikoa mingine.
Hongera UDSM kufanya campus yenu kuwa mkoa wa kagera ili kuvutia wanaotoka mikoa ya kanda zaiwa na nchi jirani kusoma.
Kuweka campus kubwa kuna saidia kuchochea biashara,elimu na ushawishi mji kukuwa na mkoa.
Kama vyuo vikubwa navyo vitafanya hivi kutengeneza campus mikoa mengine kuna leta mvuto wa mkoa.
Kwa Dar vyuo vikubwa vinatakiwa kutoa ngazi kama masters,phd na bachelor ambazo compitation yake sio kubwa sana na course ambazo azina watu wengi.
Itungwe sheria sasa kama kutakuwa na mpango wa kuanzishwa chuo ni bora kupelekwa mkoa ambao kusaidiwa kimaendeleo.
Kabisa wadau tuliosoma nao mikoani ,walivyokuja Dar ,hawakurudi mpaka leo ila sisi wengine tumerudi mikoani kwetu.Wengi wakija dar kurudi walipotoka au kwenda mikoa mingine wanakuwa wagumu.
Hii hawajaiweka or well country geographical positioning Bora kingewekwa shinyanga Mana hapo mtu wa Kagera, kigoma,mara, tabora na Mwanza singida ni easy kufika. Jamaa wamewaza ukabila tu kuweka chuo kwao. Na ndio mana wanaishia nafasi za chini chini Ila juu kabisa ni wabaya mno Mana wamejazana hapo udsm vijana wao wenyewe ndio wanapata gpa kubwa kubwa wanabakizwa as tutorial assistant.Kurundika wasomi wote wasome Dar kuna changia mazingira ya ushawishi wa vijana ambao wanatoka mikoani kutoshawishika na mikoa mingine.
Hongera UDSM kufanya campus yenu kuwa mkoa wa kagera ili kuvutia wanaotoka mikoa ya kanda zaiwa na nchi jirani kusoma.
Kuweka campus kubwa kuna saidia kuchochea biashara,elimu na ushawishi mji kukuwa na mkoa.
Kama vyuo vikubwa navyo vitafanya hivi kutengeneza campus mikoa mengine kuna leta mvuto wa mkoa.
Kwa Dar vyuo vikubwa vinatakiwa kutoa ngazi kama masters,phd na bachelor ambazo compitation yake sio kubwa sana na course ambazo azina watu wengi.
Itungwe sheria sasa kama kutakuwa na mpango wa kuanzishwa chuo ni bora kupelekwa mkoa ambao kusaidiwa kimaendeleo.
Na wewe uliyependekeza shinyanga ujawaza ukabila.Hii hawajaiweka or well country geographical positioning Bora kingewekwa shinyanga Mana hapo mtu wa Kagera, kigoma,mara, tabora na Mwanza singida ni easy kufika. Jamaa wamewaza ukabila tu kuweka chuo kwao. Na ndio mana wanaishia nafasi za chini chini Ila juu kabisa ni wabaya mno Mana wamejazana hapo udsm vijana wao wenyewe ndio wanapata gpa kubwa kubwa wanabakizwa as tutorial assistant.
Kuna dada mmoja sekretari mhaya akiwa ofisi ya principal wa coet Sasa anamdahili bana kijana mmoja mhehe yule kijana alipiga advance vizuri mno yaani A flat pcm enzi hizo miaka ya 2000 mwanzoni ilikuwa ni ishu kuzipata .
Yule dada akauliza kuwa wewe ni kabila Gani wewe , akaambiwa mhehe , dada akauliza kuwa huyo mwalimu alikuwa anafundisha kwa kabila chako adi ukamuelewa.
Yaani ie kuwa udsm kuwekwa kagera sio matumizi ya akili Bali hisia yaani wanataka kufosi Kagera ikue , Mana hata bugando walitaka ijengwe kwao Ila Nyerere akakataa akasema hapa Mwanza ni easy accessible na wananchi wa Kanda ya ziwa. Yaani mtu asafiri kwa basi tokea tabora akifika Tena alale Mwanza asafiri kwa meli ,yaani costs ni kubwa na mzigo mkubwa kwa watt wetu Mana watalala hapo Mwanza unashangaa wanaopolewa kabla ya kufika Kagera.
Geographical location ya nchi even hata singida. Kwa ukabila Gani nimewaza ndugu kwanza mie sio msukuma elewa hilo. Ila naiwazia nchi nzima Tanzania as my land na familia yangu yote bila kujali u wapi. Mpaka afrika yote naiona ni kabila moja kwangu, Senegal wakipata shida naumia.Na wewe uliyependekeza shinyanga ujawaza ukabila.
Siku hizi elimu ya bongo imepoteza relevance kabisa, siku hizi wasomi wapo wengi mtaani wamezagaa wapo wapo tu wanatia huruma.Shida elimu ya bongo imeshapoteza uthamani wake wa miaka ya nyuma! mifumo ya elimu imeshaingiliwa na wanasiasa.
UDOM nacho ni chuo kikuu kikubwa au chenye eneo kubwa??Kurundika wasomi wote wasome Dar kuna changia mazingira ya ushawishi wa vijana ambao wanatoka mikoani kutoshawishika na mikoa mingine.