Vyuo vikuu vitano vya tanzania vya shika mkia mashindano ya 13 ya Afrika Mashariki: Wanafunzi wa Kitanzania tunaosomea chuo Kenya mumetuacha na aibu

Mimi nilipoona tu wanachuo role model wao ni diamond,zuchu na mboso,nikaona kwa sasa vyuo vyetu ni mkusanyiko wa watu wasiojitambua wenye uwezo wa kujibu mitihani kwa kukariri pastpapers.
Hakuna lolote zaidi ya kuwakuta na earphone,na wanachosikiliza ndio huo ujinga wa marole model wao


Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Au tuseme pangekuwa na kazi ya kimataifa inagombewa na hivyo vyuo, interview ingekuwaje? Tz tungeshika namba ipi?
 
Hao Udizimu hao chuo nambari moja jamani si ndo waotamba Wana facilities zote kama Harvard vipi Sasa mpka kukodi Special Hire kama ndugu zangu wakina Shirima wanasafirisha msiba? Walikua wanasafirisha Msiba au Wanasafirisha? Tuanzie hapo
 
Mimi niliddhani darasani
 
Mimi nikajua mashindano ya kile wanachofundishwa na malecture wao kumbe ni kukimbiza, kupiga na kurusha mipira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…