Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
Wangefanya mashindano ya kumeza p2 na kupaka mkongo, mbona wangeongoza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilipoona tu wanachuo role model wao ni diamond,zuchu na mboso,nikaona kwa sasa vyuo vyetu ni mkusanyiko wa watu wasiojitambua wenye uwezo wa kujibu mitihani kwa kukariri pastpapers.Wanabodi heshima mbele.
Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya.
Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda ,Kenya na Rwanda.
Tanzania tuliwakilishwa na vyuo vikuu VITANO
1.Chuo kikuu cha Ushirika Moshi
2.Chuo kikuu cwha Dar es salaam
3.Chuo kikuu cha Ardhi
4.Chuo kikuu cha Dodoma
5.Chuo kikuu cha Mzumbe
Michezo ilikuwa zaidi ya 15 na Tanzania tulikuwa na michezo ya
Volleyball, Basketball,Football na Handball.Yote ilikuwa kwa jinsia zote
Tangzania pamoja na kuwa sisi ndiyo tunaongoza kuwa na club za mpira wa miguu AFRIKA Mashariki (SIMBA NA YANGA) lakini tumekuwa wa mwisho .
VYUO vyote VYA Tanzania hakuna medali yoyote .Huku Uganda na Kenya zikiongoza ambapo
1.Ndejje University (Uganda)
2.USIU AFRICA
(KENYA)
3.Makerere University
4.Nairobi University
5.GULU UNIVERSITY (UG)
6.Uganda Christian University (UG)
7.JOMO KENYATTA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (KEN)
8.MOUNT KENYA UNIVERSITY
9.BISHOP STUART UNIVERSITY (UG)
.
Wakitanzania tunaosomea Maseno University (KENYA) tulivalia Bendera ya Tanzania tukishangilia vyuo vyetu kutoka Tanzania lakini tumeambulia aibu kubwa
WITO:Kipindi kijacho msishiriki kama hamkujiandaa,mlionekana hamkujindaa kabisa kwa MASHINDANO na hasa chuo kikuu cha DAR ES SALAAM (UDSM) mfano mzuri ni pale alipofungwa magori manne kwa bila na Bugeme University ya Uganda.
Pili kati ya VYUO vyote chuo kikuu cha DAR ES salaam pekee kimekuja na gari la kukodi la kanisa la Moravian aibu gani ??
Hata mimi nilidhani hivyo. Michezo sisi tushazoea sasa mtoa mada analialia utadhani mgeni Tz.Acha utoto mimi nilijua wameshindwa kitaaluma
Hao Udizimu hao chuo nambari moja jamani si ndo waotamba Wana facilities zote kama Harvard vipi Sasa mpka kukodi Special Hire kama ndugu zangu wakina Shirima wanasafirisha msiba? Walikua wanasafirisha Msiba au Wanasafirisha? Tuanzie hapoWanabodi heshima mbele.
Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya.
Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda ,Kenya na Rwanda.
Tanzania tuliwakilishwa na vyuo vikuu VITANO
1.Chuo kikuu cha Ushirika Moshi
2.Chuo kikuu cwha Dar es salaam
3.Chuo kikuu cha Ardhi
4.Chuo kikuu cha Dodoma
5.Chuo kikuu cha Mzumbe
Michezo ilikuwa zaidi ya 15 na Tanzania tulikuwa na michezo ya
Volleyball, Basketball,Football na Handball.Yote ilikuwa kwa jinsia zote
Tangzania pamoja na kuwa sisi ndiyo tunaongoza kuwa na club za mpira wa miguu AFRIKA Mashariki (SIMBA NA YANGA) lakini tumekuwa wa mwisho .
VYUO vyote VYA Tanzania hakuna medali yoyote .Huku Uganda na Kenya zikiongoza ambapo
1.Ndejje University (Uganda)
2.USIU AFRICA
(KENYA)
3.Makerere University
4.Nairobi University
5.GULU UNIVERSITY (UG)
6.Uganda Christian University (UG)
7.JOMO KENYATTA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (KEN)
8.MOUNT KENYA UNIVERSITY
9.BISHOP STUART UNIVERSITY (UG)
.
Wakitanzania tunaosomea Maseno University (KENYA) tulivalia Bendera ya Tanzania tukishangilia vyuo vyetu kutoka Tanzania lakini tumeambulia aibu kubwa
WITO:Kipindi kijacho msishiriki kama hamkujiandaa,mlionekana hamkujindaa kabisa kwa MASHINDANO na hasa chuo kikuu cha DAR ES SALAAM (UDSM) mfano mzuri ni pale alipofungwa magori manne kwa bila na Bugeme University ya Uganda.
Pili kati ya VYUO vyote chuo kikuu cha DAR ES salaam pekee kimekuja na gari la kukodi la kanisa la Moravian aibu gani ??
Mimi niliddhani darasaniWanabodi heshima mbele.

Ndiyo vitu watanzania tunapenda, havitumii akili nyingi, ni ushabiki na kuzomea uwe umekula tu inatoshaHuu ni upumbavu!! Mwanachuo unamshindanisha kwenye michezo?? How??