Halafu kuna watu humu kila mada za kidini wanakimbilia mambo ya ushoga ya maneno ya Papa wa Wakatoriki.
Na hawajui mtu aliyeishi kwa kufanya ushoga mwingi sana wanaye mheshimu sana.
Kwa heshima ya wengi tunabaki kukaa kimya.
Wakibisha naweka maandiko.
Kwa mtizamo wa kawaida tu, maeneo yenye ushoga ni katika jamii zao.