Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

Keyboard warriors wa Imani Kali acheni kulialia chukueni flight Hadi Jordan Kisha pigeni mguu Hadi Palestina mkaunge juhudi za Hamas.


Kupiga mdomo mitandaoni hamsaidii chochote!


Ni sawa na zile kelele za Kuitukana Russia iache vita na Ukraine ila Hadi Sasa ameshaitwaa Crimea na majimbo kadhaa ya Ukraine.


Kama mnataka kuikomboa Gaza nendeni field kwenye battlefield sio kupigana Kwa kutumia vifurushi vya Tigo niwezeshe wakati umelala kwenu tandale.
 
Hata kipindi Marekani kaivamia Iraq wamarekani walikuwa wanaandamana kuwa vijana wao wanafia Iraq kwenye vita . Ila haikuzuia kitu Saddam alipigwa Bomba kama kawaida dadeq.

Na pia ilikuwa karata ya trump kuingia madarakani kuwa atapunguza IDADI wa wanajeshi Iraq ila alivyoingia trump madarakani akamtanguliza General Qasem Soleimani.


Huyu ndio alikuwa Kiungo mshambuliaji kama Ronaldinho kwenye sector ya Ugaidi pale Middle east.

Aligeuzwa nyama nyama na Trump Kudadeki.


Kwahiyo acheni kuamini hayo maandamo eti yatafua dafu.

Kitendo cha hayo maandamo kuonekana kama Antisemitism tayari mchezo umeshaisha. Hayawezi kuja kufua dafu hata mara 1.


Na sehemu yoyote duniani raia huwezi shindana na serikali.
 

Attachments

  • 1200px-Qasem_Soleimani_with_Zolfaghar_Order.jpg
    1200px-Qasem_Soleimani_with_Zolfaghar_Order.jpg
    257.2 KB · Views: 2
Wana create sympathy ya magaidi wa kiislamu yasije jitoa muhanga kuua watu USA. Na USA wajanja, wanahakikisha hamas anapata kichapo cha mbwa koko huku wanajifanya kumuonea huruma hahaha
hata Tanzania alipokamatwa Mbowe ilikuwa kuzia ugaidi. lkn sasa mbona hao Marekani wakipiga kelele? si waache nchi nyengine wafanye wanavyotaka kwa raia zao?
 
Hapa duniani taifa lisiloogopa magaidi no moja nalo Israel na taifa linalowaogopa zaidi magaidi ni marekani.Mayahudi ndio kiboko cha Allah
 

Leo Hadi mnamuona china ni afadhali hahahaha


China huyu huyu ambae amewafungia waislamu wa kichina kule Uighur anawacovert wasiwe waislam.


Ubaya wenu elimu mmekimbia.

Fuatilia sababu ya Mesut Ozil kufukuzwa Arsenal halafu urudi hapa.


Mesut ozil alifukuzwa arsenal kwasababu alisema kwanini Dunia Iko kimya kuhusu vitendo vya kikatili anavyofanya china dhidi ya wachina waislam kule Uighur!


Hakuna nchi inayopinga muislam kama hiyo china inayosema Marekani Hana demokrasia!
 

Attachments

  • Screenshot_20240426-091718.png
    Screenshot_20240426-091718.png
    365 KB · Views: 3
Mbona Israel halalamiki? Yy anapiga/anapigwa maisha yanaendelea
 

Leo mnamuona china wa maana wakati ndio kinara wa kutesa waislam kule Uighur china. Kawafungia maelfu ya wachina waislam kwenye makambi abawabadiri dini Kwa lazima.

Ila mlivyokuwa wafinyu wa taarifa kichwani mnaona china ndio mtu nafuu kwenu kuliko USA.


Mesuit ozil aliongea akafukuzwa arsenal eti Leo unamuona china ndio mfano wa demokrasia wakati ndio kinala wa kuwashushia nyundo waislamu.


Ila
 

Attachments

  • Screenshot_20240426-092802.png
    Screenshot_20240426-092802.png
    904.7 KB · Views: 3
  • bdkb7ntb5sg51.jpg
    bdkb7ntb5sg51.jpg
    1.1 MB · Views: 3
Mbona Israel halalamiki? Yy anapiga/anapigwa maisha yanaendelea
Huwa wanashinda humu wanashangilia Israel anapelekewa moto!


Ila Cha kushangaza anaepelekewa moto halalamiki ila anaepeleka moto Kila siku maandamo duniani na kelele kuwa vita vinawamaliza huko Gaza 🤣🤣🤣


Dunia haitaisha vituko
 
Back
Top Bottom