Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #61
Usijifanye unanijua sana JF siyo sehemu ya porojo na bahati nzuri kuna kila data za member ukileta hizoUha
We sema uharo wakati watu wanaendelea kuuliwa huko Gaza.
Nakukumbuka wewe ni kati ya waliofurahia vitendo vya hamasi vya kuuwa Waisreli wasio na hatia.
Leo unalialia nini humu endelea kufurahia kama mwanzoni pale.
Mnasema eti hamasi kashinda vita.
Vita gani wanashindwa kuzuia vitendo vya Israeli na kubaki kujificha kwenye mahandaki tu na kukimbilia nchi za nje.
Kwa kila mwenye akili timamu hii vita wa kulaumiwa kwanza ni Hamasi.
Posts unazosema najitoa JF kama usipoleta basi nakuweka kwenye group la mashoga wazee wasiyo jitambua nakupa na jina rasmi Shoga Miittoga.
Nasubiri hizo post