Vyuo Vikuu vya Tanzania vinazalisha zaidi wahuni kuliko hata wasomi

wenzetu wazungu walishatengeneza mfumo wa maisha ambao unaenda kumuandaa mtoto akifikisha miaka 18 atakuwa mutual kwa kujielewa na kujitegemea.
Mtoto wa kizungu akitimiza miaka 18 anapewa kadi ya bank yenye kitita cha kutosha ambacho wazazi wake walikua wakimjazia mihela tangu akiwa na umri 0, kwa hio kujitegemea kwake sio suala la kuuliza maana pesa alishajaziwa sio sisi unaambiwa usome tu usome tu ukimaliza hata mtaji huna utafanya nini kingine zaidi ya kudanga, kuna manzi mmoja namjua ana Masters ya Computer Science na anadanga vibaya
 
Andiko zuri
 
Hili kweli mkuu
 
Kusema kweli mimi sijawahi kujivunia hii elimu ya chuo kikuu
Kitu nakutumia ni connection niliyoipata
 
Wahuni toka Zanzibar
 

Attachments

  • yunusrashidmkomange_1671482304297236.mp4
    4.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…