Vyuo Vikuu Vyakosa Wadahiliwa (Wanafunzi)

Vyuo Vikuu Vyakosa Wadahiliwa (Wanafunzi)

M.L.

Senior Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
185
Reaction score
119
Kuna habari kwamba idadi ya wanafunzi waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu imepunguzwa kwa makusudi na serikali ya CCM kwenda vyuo binafsi ambavyo inasemekana vina idadi kubwa ya wahadhili wanaoshabikia chama pinzani-CHADEMA.
Mtoa habari anasema miongoni mwa vyuo vikuu vilivyoathirika ni pamoja na chuo kikuu cha SAUT tawi la Mtwara.

Kama ni kweli, je hili Dr. Kawambwa analijua? Kama ndivyo hivyo, hiii ni kushusha kiwango cha elimu nchini.

Yamkini habari hii ikawa na ukweli fulani, hasa, ukizingatia kuwa CCM wanapobanwa kwenye hoja nzito hukimbilia kutoa hoja hafifu kujibu au huanzisha hoja ovyo.
 
Kwa mwaka huu kuna upungufu wa wanachuo 15,000. Mwakani itakuwa 25,000.
 
Idadi imepunguzwa kwa makusudi how?
Kwani si passmark ndo zakupeleka chuo?
Au unamaanisha nini apo a bit confused!
 
Bado sijaelewa licha ya kusoma mara tano. Unaweza kuiandika kwa greek words? Yawezekana nitaielewa. Msinishangae jamani, mwaka huu watu wamefaulu zaidi chemistry na bios kuliko kiswahili.
 
Hvi chuo kama Saut nacho kinaweza kuinyima serikali usingizi kweli?
 
Back
Top Bottom