Kuna habari kwamba idadi ya wanafunzi waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu imepunguzwa kwa makusudi na serikali ya CCM kwenda vyuo binafsi ambavyo inasemekana vina idadi kubwa ya wahadhili wanaoshabikia chama pinzani-CHADEMA.
Mtoa habari anasema miongoni mwa vyuo vikuu vilivyoathirika ni pamoja na chuo kikuu cha SAUT tawi la Mtwara.
Kama ni kweli, je hili Dr. Kawambwa analijua? Kama ndivyo hivyo, hiii ni kushusha kiwango cha elimu nchini.
Yamkini habari hii ikawa na ukweli fulani, hasa, ukizingatia kuwa CCM wanapobanwa kwenye hoja nzito hukimbilia kutoa hoja hafifu kujibu au huanzisha hoja ovyo.