Vyuo vinavyofundisha software engineering Tanzania

Vyuo vinavyofundisha software engineering Tanzania

Tonny Mgonja

New Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
4
Reaction score
1
Naombeni mnitajie list ya vyuo vinavyofundisha software engineering kwa hapa Tanzania na pia naombeni ushauri kuhusu hii programme.
 
Duh ssa Mbna changamoto mkuu, nimejribu kufuatulia ni vyuo viwili tuu kwa hapa Tanzania, ambavyo ni UDOM na RUKU
Hiyo RUKU ni chuo cha ruaha? Kama jibu ni ndio basi jua hawafundishi software engineering. Kozi yao haitambuliki na bodi ya wahandisi Tanzania.

Chuo pekee Tanzania kinachofundisha Software Engineering ni UDOM pekee! Kinafundisha kozi yao kwa miaka 4 na ukimaliza utaweza kusajiliwa na bodi ya wahandisi Tz kama injinia.
 
Back
Top Bottom