Vyuo vya kikatoliki

Vyuo vya kikatoliki

Apolo The Great

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
249
Reaction score
194
Jamani nauliza hivi kwanini vyuo vya kikatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani siku ya jumamosi? ila jumapili hawawezi? na wakikujua wewe ni wa jumamosi ndio wanakuambia ukubali kwa kuweka sahihi yako kuwa utakuwa unafanya mitihani siku hiyo na ukikataa unadisco chuo?
 
Ulisoma joining instructions?

safi sana hili swali linatosha kumpeleka icu.Watu wanataka kuchaganya dini kazi na siasa pamoja. Ukienda shule za Wasabato wanawanyima watoto wetu kula nyama kisa dini yao haitaki sasa ni nani mnyanyasaji kati ya RC na wasabato?
 
Jamani nauliza hivi kwanini vyuo vya kikatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani siku ya jumamosi?,ila jumapili hawawezi?na wakikujua wewe ni wa jumamosi ndio wanakuambia ukubali kwa kuweka sahihi yako kuwa utakuwa unafanya mitihani siku hiyo na ukikataa unadisco chuo?,

soma kijana acha ulalamisi, mbona wa ijumaa hawalalamiki? ukiona kazi sana acha mtumbwi na nyavu zako umfuate yesu.
 
Jamani nauliza hivi kwanini vyuo vya kikatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani siku ya jumamosi?,ila jumapili hawawezi?na wakikujua wewe ni wa jumamosi ndio wanakuambia ukubali kwa kuweka sahihi yako kuwa utakuwa unafanya mitihani siku hiyo na ukikataa unadisco chuo?,
Ulitegemea vyuo vya kikatoli wafanye nini kwenye suala kama hilo? Acheni ujinga, ungeenda kwenye vyuo vya imani yako halafu hayo yakitokea ndo ushangae... Mnakera na viuzi vyenu vya uchochezi
 
Nimesoma Saut mwanza,hakuna sehemu unapewa kusign ili upige paper jumamosi.

Mbona kina Rashid hawalalamiki kuhusu kupiga paper ijumaa?
Ukiona kazi kusoma chuo cha roman catholic angalia upande mwingine!
 
safi sana hili swali linatosha kumpeleka icu.Watu wanataka kuchaganya dini kazi na siasa pamoja.Ukienda shule za Wasabato wanawanyima watoto wetu kula nyama kisa dini yao haitaki sasa ni nani mnyanyasaji kati ya RC na wasabato?

Hapo hakuna mnyanyasaji... Kila mmoja anafanya kwa mujibu wa imani yake.. Ni mjinga tu ataingia msikitini halafu atake ya kikristu yafanyike huko...
 
Watu wanapenda complain sana huyu anaweza mwambia baba yake kwanini ulinizaa mweusi!
 
Usiandike kitu kama huna uhakika,pale SAUT-MWANZA jumapili yenyewe paper zilikuwa zimapigwa sembuse jumamosi. Afu jitahid kufuata taratibu za watu ukienda kwao
 
RC ni taasisi ya kuigwa hapa tz kwa kuwa na mipango endelevu na uwekezaji. Bila kuwekeza kwenye vyuo,ungesoma wapi? Halafu umelazimishwa kusoma hivyo vyuo?Bila shaka ulifuata ubora wa elimu ktk hivyo vyuo?

Kwanin huku chagua Mogorogoro Islamic univ.?Ajabu mnasoma na amuelimiki! Na leo iwe mwanzo na mwisho kuleta thread za sabatonism, mat.ako wewe!
 
kila chuo kinataratibu zake kulingana na misingi yao, hata vyuo vya serikali vinataratibu zake, mbona MUM hujawazungumzia!

Jaman kabla hujaomba chuo basi jaribu kupitia prospector zao walau ujue taratibu zao na ukiona hazikufai basi achana nao! Vyuo vya kikatoliki hadi ma father wanafundisha sasa ulitaka wafundishe jumapili na ibada aongoze nani!
 
Pole sana ndg yng. Hao wakatoliki nao taratibu zao ndizo zinawataka wafanye hayo.

Fuata ushauri wa hao ndg hapo juu au nakushauri nenda kwa DVC mwambie sheria hiyo huitaki na akuandikie barua ya kuacha chuo kabisa then uapply chuo cha imani yako au uende pale MUM Morogoro uvalishwe vipedo, dela na kibakuli.

Kama hiyo huwezi jinyamazie na piga msuli kimya kimya huku ukitubu kwa kufanya mitihani Jumamos!
Naomba pia vyuo hivyo waweke na sheria ya kula kitimoto, kumbikumbi, chai na kambale ili ulalamike vizuri.

Washauri na wenzio wawe wanasoma Joining instructions na sheria nyingine kabla ya kujiunga na chuo chochote.
Ubarikiwe!
Waambie na wenzio

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom