Pole sana ndg yng. Hao wakatoliki nao taratibu zao ndizo zinawataka wafanye hayo. Fuata ushauri wa hao ndg hapo juu au nakushauri nenda kwa DVC mwambie sheria hiyo huitaki na akuandikie barua ya kuacha chuo kabisa then uapply chuo cha imani yako au uende pale MUM Morogoro uvalishwe vipedo, dela na kibakuli.
Kama hiyo huwezi jinyamazie na piga msuli kimya kimya huku ukitubu kwa kufanya mitihani Jumamos!
Naomba pia vyuo hivyo waweke na sheria ya kula kitimoto, kumbikumbi, chai na kambale ili ulalamike vizuri.
Washauri na wenzio wawe wanasoma Joining instructions na sheria nyingine kabla ya kujiunga na chuo chochote.
Ubarikiwe!
Waambie na wenzio
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums