Vyuo vya kikatoliki

Vyuo vya kikatoliki

Hii dini ya MUSOMA inakomaa na agano la kale tuu bila kujua Yesu alikwisha tafsiri sheria za kale purposively siku njingi

Hii dini pia iko kule eneo la Kilimanjaro lenye laana ya kukosa mvua(Jangwa)...Hedaru huko..
 
sio wasabato na waislamu problem kila mtu ana haki ya kuabudu wapewe nao mda wa kupractice their faith au ielewe kama wanachuo hawaruhusiwi kuabudu ambacho ni kitendo kinyume na katiba ya nchi basi vyuo kama st augustine university ,luaha catholic university college,tumain wafanye mtihani juma pili maana sisi ni wateja wao tunatoa fedha nyingi kama tuition fee na accomodation nyinginezo wakubali matakwa ya wateja wao sisi wanavyuo yaani wanafunzi

Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini..?
 
Mungu akusamehe hujui ulisemalo... Next time usiite watu vilaza! Heshimu imani za watu sio kutusitusi tu

Kilaza tuu ndo mwenye uwezo wa kuleta mada ya kishenzi kama hii...

Huyo Kilaza ni Msabato.....Hakuna Msabato aliyemkosoa kwa hiyo ina maana Wasabato ni vilaza..
 
Ukweli ni kwamba Saut Main Campus ya Mwanza walikuwa wakipigisha paper mpaka Jumapili nilisoma hapo miaka ya nyuma....Join instruction ukisign unakuwa umekubaliana na matakwa na taratibu za chuo.FULL STOP.....Pole yako kwa kuto kuelewa maana ya kukubali kujiunga na chuo na kufuata taratibu za chuo.
 
Au acha shule kabisa,usijeikosa mbingu mwaya kwa kufanya mitihani jumamosi,chuo kitu gani bwana,piga chini

Haaaaaaa umesema sana ndugu yangu mbingu nzuri ila wawaulize wasabato wa 3rd MWUCE walifanyiwa nini tena 1st semister.

Umekwenda chuo kusoma kasome huwezi nenda cha Arusha si cha kwenu kile? Waone Waislam hawataki shida wenye itikadi safi wanaenda zao MUM coz hawataki ugomvi wa imani na watu
 
wasabatho bwana

Kaziiii kwelikweli wanajifanya wana imani mitihani jmosi hawataki kufanya ila uzinzi ruksa sasa dhambi ipi kuzini jmosi au kufanya pepa ????? Malabuku wakubwa nyie piga buku acha malalamiko.
 
Huwa hawana tofauti...Muislam yupo radhi aungane na Msabato kuushambulia Ukristo...

Wote nyie ni walalamikaji...Kila kitu mnadhani.mnaonewa....Wote nyie mna Inferiority complex....

Ni hayo tuu kwasasa..

Hakuna msabato mwenye inferiority complex kwani spiritually we are superior than any religious assembly, inferiority complex mnayo nyie mnaovaa tshirt zimeandikwa I M CATHOLIC & PROUD.
 
Hakuna msabato mwenye inferiority complex kwani spiritually we are superior than any religious assembly, inferiority complex mnayo nyie mnaovaa tshirt zimeandikwa I M CATHOLIC & PROUD.

Ha ha ha ha...Superior In Spirituality kwa mijibu wa nani...?

Halafu ngoja nikuambie kitu wewe! Mngekuwa hamna Inferiority Complex mngehakikisha Wasabato wote mnasoma hapo UoA....

Wasabato hamtaki kwenda kwenye shule zenu mnakimbilia za Kikatoliki....Mkifika huko mnataja kuleta upuuzi wenu wa Kisabato....Shule ya Notre Dame Sec hapa Arusha kuna Wasabato karibia 20 na wote lazima wafuate sheria za Katoliki na Misa wanaingia..Hawa ndo Wasabato wanajielewa...Ila wakileta fyoko wanatupiliwa mbali waende TAS
 
Nilijua naongea na mtu mzima kumbe mtoto wa secondary, kafanye homework mwambie padri wako aje tuongee.
 
Nilijua naongea na mtu mzima kumbe mtoto wa secondary, kafanye homework mwambie padri wako aje tuongee.

Huo ndio ukweli wenyewe.....Padre hawezi kuja hapa JF yupo bize anafundisha hao vilaza wa Kisabato ili wajielewe na kujitambua...

Sisi tuko hapa kuwanyoosha nyie wa mtandaoni mliogubikwa na hekaya za mama White..
 
Pole sana ndg yng. Hao wakatoliki nao taratibu zao ndizo zinawataka wafanye hayo. Fuata ushauri wa hao ndg hapo juu au nakushauri nenda kwa DVC mwambie sheria hiyo huitaki na akuandikie barua ya kuacha chuo kabisa then uapply chuo cha imani yako au uende pale MUM Morogoro uvalishwe vipedo, dela na kibakuli.
Kama hiyo huwezi jinyamazie na piga msuli kimya kimya huku ukitubu kwa kufanya mitihani Jumamos!
Naomba pia vyuo hivyo waweke na sheria ya kula kitimoto, kumbikumbi, chai na kambale ili ulalamike vizuri.
Washauri na wenzio wawe wanasoma Joining instructions na sheria nyingine kabla ya kujiunga na chuo chochote.
Ubarikiwe!
Waambie na wenzio

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hajaelimika wewe, elewa mada usiwe mpuuzi!
 
Back
Top Bottom