Apolo The Great
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 249
- 194
Ulisoma joining instructions?
Jamani nauliza hivi kwanini vyuo vya kikatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani siku ya jumamosi?,ila jumapili hawawezi?na wakikujua wewe ni wa jumamosi ndio wanakuambia ukubali kwa kuweka sahihi yako kuwa utakuwa unafanya mitihani siku hiyo na ukikataa unadisco chuo?,
Ulitegemea vyuo vya kikatoli wafanye nini kwenye suala kama hilo? Acheni ujinga, ungeenda kwenye vyuo vya imani yako halafu hayo yakitokea ndo ushangae... Mnakera na viuzi vyenu vya uchocheziJamani nauliza hivi kwanini vyuo vya kikatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani siku ya jumamosi?,ila jumapili hawawezi?na wakikujua wewe ni wa jumamosi ndio wanakuambia ukubali kwa kuweka sahihi yako kuwa utakuwa unafanya mitihani siku hiyo na ukikataa unadisco chuo?,
safi sana hili swali linatosha kumpeleka icu.Watu wanataka kuchaganya dini kazi na siasa pamoja.Ukienda shule za Wasabato wanawanyima watoto wetu kula nyama kisa dini yao haitaki sasa ni nani mnyanyasaji kati ya RC na wasabato?