Vyuo vya kikatoliki

Wakatoliki ndio wepi wale wanaokulana tigo wao kwa wao?
 

bahati yako nimefunga, ningekupa tusi moja la tani 50 ili uwe na ustaarabu siku nyingine, unaizungumzia MUM hivyo lengo lako nn?
 

na wewe kuku angalia mifano unayotoa inamaana hakwenda MUM kisa elimu ya pale sio bora ndo maana akaenda huko?

Haya makitu ni double standard tu leo serikali inawakataza mfumo wanautumia mivumoni islamic kisa wakati wanaanzisha shule waliomba kibali kwao kwanini sasa hawafundishi alhamisi na ijumaa, wakati wao wanafundisha jumamosi na jumapili, kwanini serikali isiwalaumu na hao vyuo vikuu vya rc?

Pili kuna shule ya wasabato iko arusha wao wanasoma miezi mitatu wanne likizo so kila baada ya miezi mitatu wanaenda likizo kwa mwaka wanalikizo tatu ambao ni mwezi wa nne, nane, na wa kumi na mbili lakini serikali ipo kimya haiwafanyi kitu
 

nashukuru kwa hayo uloyapost lakin hujui unalofanya hata sasa!
 
Hahahahahaha we jamaa umwenichekesha sana,yaaan nilikua nmenuna kweli tangu niamke.bt nmecheka san at first time....kwel humuvkuna vichwa vibovu hahahahahah
 

Hahahahahahaha dah! Katika mijitu yenye ushauri wakukata maini na yenye roho mbaya wewe umo kwenye list
 
Kuna methali inasema "Mtaka cha uvunguni lazima ainame"
 
Kijana kipo chuo pale Morogoro cha Kiislamu nikushauri tu kwamba waweza kwenda pale kusoma ili kuepuka hayo matatizo ya jumamosi
 
"Mtaka cha uvunguni sharti
ainame"

"JK, anasema 'UKITAKA KULA' SHARTI, NA WEWE ULIWE"

So! means that;
[‘if you
want something that’s beneath the
bed you have to bend’ (in order to
get it)]
 

huyu jamaaa ni hatari sana, ukimkaribisha kwako anaweza kulazimisha akalale chumbani kwako unako lala na mkeo wakati kapewa chumba cha wageni.
 
Wewe ni msabato?

Kwani taratibu za chuo zinasemaje kuhusu kufanya mitihani jumamosi? Na je ulisoma vizuri sheria, kanuni na taratibu za chuo? Kama vipi hamia chuo cha kisabato (University of Arusha) kuliko kuendelea kupiga kelele huku ukiteketea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…