Vyuo vya NACTE(now called NACTVET-) vinahitaji reform kubwa

Vyuo vya NACTE(now called NACTVET-) vinahitaji reform kubwa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Havijulikani vinatumia mitaala ipi

2. Havina likizo kwa watoto for the whole year

3. Mitihani anatunga nani na inakuwa moderated vipi.

4. Walimu wana sifa kweli za kufundisha? haijulikani wanatokana na nini na qualification zao ni zipi.

5. Vya kilimo/mifugo ndiyo usiseme. MATI Mtwara ni kambi ya kupata manamba na wala si kutoa taaluma kwa vijana. kazi pale ni kulima korosho na mazao ya kuuza. Wanafunzi ni MANAMBA WA MASHAMBA KAMA ILIVYOKUWA KWENYE MIKONGE
........................................................................................................................................................................................
6. VURUGU TUPU
 
Kwamba wameunganishwa veta na na nacte kuwa kitu kimoja?
Ile mamlaka ya veta ndio umefunikwa?
 
Ndio hawa nasikia wengine wanaenda kulima Israel?
Exactly, Mtwara MATI huwa wanakwenda Israel, wakirudi wako watupu kama walivyokwenda.
Hiki chuo bure kabisa. Wazazi msiwapeleke watoto wenu huko!
 
Kwamba wameunganishwa veta na na nacte kuwa kitu kimoja?
Ile mamlaka ya veta ndio umefunikwa?
Ndio ndio..

Mimi nashauri waanze kuwapa mikopo hawa vijana..mana ndio nguvu kazi ya moja kwa moja kwa hili taifa.

Hawa undergraduates wanaopewa mikopo na serikali ni uwekezaji mbaya kwa serikali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom