Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Rudi kamalize dose yako milembeWakuu nimefanya utafiti kwenye vyuo vya PRIVATE kama SAUT,RUCo(Ruaha university college),MWENGE UNIVERSITY,JORDAN UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY,ST.JOSEPH UNIVERSRTY,TUMAINI DAR,TUMAINI IRING,TUMAINI MAKUMIRA,ST.JOHN,TEKU,SEKOMU,EUKENFORD,nikagundua kwamba wanagraduate na G.P.A kubwa sana yaani unakuta G.P.A za 4 zimejaa hadi unashangaa ! na tunajua kabisa asilimia kubwa ya wanafunzi wanaochukuliwa kwenye hivi vyuo vya PRIVATE wamepata division three zile mbaya mfano,15,16,17,! Hebu tujadili wakuu kwa nini hivi vyuo vya PRIVATE wanapewa G.P.A kubwa sana je ni sababu za kibiashara
Rudi kamalize dose yako milembe
Nimesoma Saut,mwaka wetu hakuna mtu aliyekua na GPA ya 4!!
Na kwa kuthibitisha ulongo na unafiki wako kila mahafari ya kila mwaka watu wenye GPA kali hutangazwa na kua TA
Nenda Saut kaulize kuanzia mwaka 1998 kuna GPA kali ngapi??
Usipende kulopoka,kwan domo lako usipolifungua haliwezi nuka!!!!
Wewe zuzu kwel unafkir ukitoka na dv 1 chuo utapata hvyohvyo
Wewe zuzu kwel unafkir ukitoka na dv 1 chuo utapata hvyohvyo
iyo mwenge unayosema kuna first clas 2, sijui unapga msul kwa makalio
Utafiti wa masaa,ndo unasema huo utafiti??
Nenda kaweke kambi ya miezi au mwaka ndo uje useme kwamba umefanya utafiti!!!
Lakini vyuo vya private wanagawa G.P.A kama njugu ilhali wengi ni vilaza
Kuliko nisome chuo cha private,bora niishie form 6 tu.
Mkuu kuna mwalimu mmoja anatoka chuo cha TUMAINI alikuja kufundisha partime taboraboys yaani hajui kitu linakazi ya kujisifia eti ana G.P.A kubwa
Kumbe umedisco??
Toa mfano jina la mwanafunzi,kozi yake,reg no na mwaka wake aliomaliza chuo!!
Mbili fanya utafiti wa kisomi,matokea ya form four yametoka juzi tu hapa,kwenye top ten kuna government xcul?
Tatu wenye three au two ndo hutoka na GPA kali university than wenye division one zao
Wewe nimekwenda MWENGE nikakuta matokeo kwenye notice board yaani ni miG.P.A ya 4 Kwenda juu