W. L. Malecela [LE MUTUZ ] Interview

Status
Not open for further replies.

madam boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Posts
701
Reaction score
742
Leo tutakuwa na LE MUTUZ, W. L. Malecela.

Mkuu ,heshima
kwako, nikukaribishe katika interview fupi ya Jamii forum.
Wadau mnakaribishwa kuuliza maswali, ila nina maswali machache kwake.

1:le mutuz ni mtu wa aina gani, na anajishughulisha na nini kwa ambao hawakufahamu vizuri, nikiwemo mm

2:Wewe ni mtu ambae unajulikana sana, ninaweza kusema labda Dar nzima wanakufahamu. Na hapa jf unatumia jina lako halisi, je kwa yanayoendelea humu jf. Pengine mada ambazo zinakuhusu ww sio nzuri kwako, comment ambazo sio nzuri kwako,
Unawezaje kuzihimili .

2:Na njee ya Jf, kuna Dada anaitwa mange Kimambi,Je unaugomvi nae,?
Na je kwa anayosemaga kuhusu ww, wewe kama mwanaume unajisikiaje, na Familia yako, pamoja na jamii inayokuzunguka kwa ujumla inakuchukuliaje ?🙂
 
swalii langu, ,Mkuu lemutuz king of all social media,katika thread nyingi sana nazan ikiwepo hii huwa unakutana na matusi mazito sana yan sana , Hivi unajisikia vipi ,hua unafadhaika sana au unakuwaje??
 
Sawa, basi mm namfahamu, ila wengine hawamfahamu, Asante kwa marekebisho
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…