Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Tanzania iliwasaidia pia esp. TANU uliza Kenyatta gari yake ya kwanza nani alimnunulia na nani alilipa mwanasheria wake wakati anashitakiwa na serikali ya kikoloni!when our mau mau fighters were fighting the British Empire for over 6years, kikuyu ,embu and meru tribes were all put into camps , nani aliyetusaidia??? hii ujinga kutaka msaada wakati wote imefanya Africa kuwa maskini hohe hahe
Msumbiji na Zimbabwe walipomaliza vita, hata kabla ya kufanya lolote katika nchi zao, walijiunga na vuguvugu la kuzikomboa nchi zingine. Ninyi ni wabinafsi Sana, hamtoi msaada kutoka moyoni. Sasa mbona mnajikomba kuomba kufutiwa viza na South Africa?when our mau mau fighters were fighting the British Empire for over 6years, kikuyu ,embu and meru tribes were all put into camps , nani aliyetusaidia??? hii ujinga kutaka msaada wakati wote imefanya Africa kuwa maskini hohe hahe
Kenya ni wabinafsi na wana roho mbaya sana. Wao hawana UTU, wanajali maslahi zaidi, ndio sababu wanauwana sana kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi.Tanzania iliwasaidia pia esp. TANU uliza Kenyatta gari yake ya kwanza nani alimnunulia na nani alilipa mwanasheria wake wakati anashitakiwa na serikali ya kikoloni!
Every man for himself! God for us all!Kenya ni wabinafsi na wana roho mbaya sana. Wao hawana UTU, wanajali maslahi zaidi, ndio sababu wanauwana sana kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi.
Hio siwezi amini bila evidenceTanzania iliwasaidia pia esp. TANU uliza Kenyatta gari yake ya kwanza nani alimnunulia na nani alilipa mwanasheria wake wakati anashitakiwa na serikali ya kikoloni!
Unajua Raila alikua anatumia passport ya Tanzania na ndio alitumia kukimbilia nje?Hio siwezi amini bila evidence
So why do you complain always when Tanzania refuses to cooperate with you?, why did you complain when we sent back hundreds of Kenyans who used to work and live in Tanzania illegally, why did you complain when we auctioned your cows, why do you complain when South Africa refused to remove visa for Kenyans?Every man for himself! God for us all!
Hakuna nchi iliyokuja kutukomboa wakati tunapigwa na kuuwawa na Wakoloni. Zaidi ya Wakenya elfu hamsini walipoteza maisha yao kwa mikono ya wakoloni kwa hisani ya Wanahistoria. Tulipigana kivyetu hadi tukafanikiwa kuwafukuza. Nchi gani ya Afrika ilihifadhi maumau wetu wakipigania uhuru? Nchi gani ilihifadhi akina Kenyatta na wenzake wakipigwa na kufungwa jela zaidi ya miaka minane? Kwa hivyo wacha kulialia sisi tulijitegemea bila kulialia kama watoto eti nchi zingine hazitusaidiiMsumbiji na Zimbabwe walipomaliza vita, hata kabla ya kufanya lolote katika nchi zao, walijiunga na vuguvugu la kuzikomboa nchi zingine. Ninyi ni wabinafsi Sana, hamtoi msaada kutoka moyoni. Sasa mbona mnajikomba kuomba kufutiwa viza na South Africa?
usaidizi mgabi huo sasa, zawadi kidogo 1963 hata kumbu kumbu yake hakuna, 5yrs after the end of the Mau Mau rebellion ..Tanzania iliwasaidia pia esp. TANU uliza Kenyatta gari yake ya kwanza nani alimnunulia na nani alilipa mwanasheria wake wakati anashitakiwa na serikali ya kikoloni!
boss, no Kenyan loses sleep over Tanzanian actions and stupidity,So why do you complain always when Tanzania refuses to cooperate with you?, why did you complain when we sent back hundreds of Kenyans who used to work and live in Tanzania illegally, why did you complain when we auctioned your cows, why do you complain when South Africa refused to remove visa for Kenyans?
Haya , sisi hatukupewa msaada wowote, na hatukupa mtu yeyote msaada, tunajua kujitegemea , kojoa ukalaleMsumbiji na Zimbabwe walipomaliza vita, hata kabla ya kufanya lolote katika nchi zao, walijiunga na vuguvugu la kuzikomboa nchi zingine. Ninyi ni wabinafsi Sana, hamtoi msaada kutoka moyoni. Sasa mbona mnajikomba kuomba kufutiwa viza na South Africa?
[emoji23][emoji23]usaidizi mgabi? au sio tumewapa na kiswahili bure kabisa lakini unaandika upumbavu hapausaidizi mgabi huo sasa, zawadi kidogo 1963 hata kumbu kumbu yake hakuna, 5yrs after the end of the Mau Mau rebellion ..
Every man for himself! God for us all!
Nigeria pia walipigana bila kusaidiwa lakini walisaidia nchi zingine, vivyo hivyo kwa Algeria, japo ni waarabu lakini walitoa mafunzo na silaha nyingi kwa ukombozi wa watu weusi kusini mwa Afrika, wao pia walipigana vita wakati wanadai Uhuru wao.Hakuna nchi iliyokuja kutukomboa wakati tunapigwa na kuuwawa na Wakoloni. Zaidi ya Wakenya elfu hamsini walipoteza maisha yao kwa mikono ya wakoloni kwa hisani ya Wanahistoria. Tulipigana kivyetu hadi tukafanikiwa kuwafukuza. Nchi gani ya Afrika ilihifadhi maumau wetu wakipigania uhuru? Nchi gani ilihifadhi akina Kenyatta na wenzake wakipigwa na kufungwa jela zaidi ya miaka minane? Kwa hivyo wacha kulialia sisi tulijitegemea bila kulialia kama watoto eti nchi zingine hazitusaidii
Jamaa wanajiangaisha tu, history imeandikwa kwa damu wanataka kuifuta kwa pencil. S.A govt walivyo mchagua Kikwete na Chiluba kutatua hili tatizo la exonophobia walitumia vigezo vya nchi zilizo wasaidia uko nyuma. Ukweli utabaki ukweli Kenya kwenye diplomasia ya kimataifa haina record nzuri. Wazee wao wanalijua hilo ndiyo maana maraisi wao wakistaafu wanarudi kulima. Tatizo hawa vijana wa leo wanataka kuforce mambo.