Wa Afrika Kusini wawakumbusha waKenya juu ya usaliti wao

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,598
Reaction score
1,822
Katika kile kinachotafsiriwa kama kuweka rekodi sawa, Wa Afrika Kusini wamekumbusha juu ya nchi zilizoisaidia katika kupambana na utawala wa kibaguzi waliopitia chini ya Makuburu.
Ukiwa ni muedelezo wa mjadala wa Xenophobia, Mkenya mmoja aliandaa makala na kuichapisha katika ukurasa wa Twitter. Kilichotokea ni kama ifuatavyo 👇👇👇
695B5E0F-DF13-4E96-9D28-01E60D92502F.jpeg
98615704-F136-4C2A-9ED7-974BF0D64A3C.jpeg

NAWASILISHA.
 
Jamaa wanajiangaisha tu, history imeandikwa kwa damu wanataka kuifuta kwa pencil. S.A govt walivyo mchagua Kikwete na Chiluba kutatua hili tatizo la exonophobia walitumia vigezo vya nchi zilizo wasaidia uko nyuma. Ukweli utabaki ukweli Kenya kwenye diplomasia ya kimataifa haina record nzuri. Wazee wao wanalijua hilo ndiyo maana maraisi wao wakistaafu wanarudi kulima. Tatizo hawa vijana wa leo wanataka kuforce mambo.
 
when our mau mau fighters were fighting the British Empire for over 6years, kikuyu ,embu and meru tribes were all put into camps , nani aliyetusaidia??? hii ujinga kutaka msaada wakati wote imefanya Africa kuwa maskini hohe hahe
 
Tanzania iliwasaidia pia esp. TANU uliza Kenyatta gari yake ya kwanza nani alimnunulia na nani alilipa mwanasheria wake wakati anashitakiwa na serikali ya kikoloni!
 
Msumbiji na Zimbabwe walipomaliza vita, hata kabla ya kufanya lolote katika nchi zao, walijiunga na vuguvugu la kuzikomboa nchi zingine. Ninyi ni wabinafsi Sana, hamtoi msaada kutoka moyoni. Sasa mbona mnajikomba kuomba kufutiwa viza na South Africa?
 
Kenya ni wabinafsi na wana roho mbaya sana. Wao hawana UTU, wanajali maslahi zaidi, ndio sababu wanauwana sana kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi.
 
Tanzania iliwasaidia pia esp. TANU uliza Kenyatta gari yake ya kwanza nani alimnunulia na nani alilipa mwanasheria wake wakati anashitakiwa na serikali ya kikoloni!
Hio siwezi amini bila evidence
 
Every man for himself! God for us all!
So why do you complain always when Tanzania refuses to cooperate with you?, why did you complain when we sent back hundreds of Kenyans who used to work and live in Tanzania illegally, why did you complain when we auctioned your cows, why do you complain when South Africa refused to remove visa for Kenyans?
 
Msumbiji na Zimbabwe walipomaliza vita, hata kabla ya kufanya lolote katika nchi zao, walijiunga na vuguvugu la kuzikomboa nchi zingine. Ninyi ni wabinafsi Sana, hamtoi msaada kutoka moyoni. Sasa mbona mnajikomba kuomba kufutiwa viza na South Africa?
Hakuna nchi iliyokuja kutukomboa wakati tunapigwa na kuuwawa na Wakoloni. Zaidi ya Wakenya elfu hamsini walipoteza maisha yao kwa mikono ya wakoloni kwa hisani ya Wanahistoria. Tulipigana kivyetu hadi tukafanikiwa kuwafukuza. Nchi gani ya Afrika ilihifadhi maumau wetu wakipigania uhuru? Nchi gani ilihifadhi akina Kenyatta na wenzake wakipigwa na kufungwa jela zaidi ya miaka minane? Kwa hivyo wacha kulialia sisi tulijitegemea bila kulialia kama watoto eti nchi zingine hazitusaidii
 
Tanzania iliwasaidia pia esp. TANU uliza Kenyatta gari yake ya kwanza nani alimnunulia na nani alilipa mwanasheria wake wakati anashitakiwa na serikali ya kikoloni!
usaidizi mgabi huo sasa, zawadi kidogo 1963 hata kumbu kumbu yake hakuna, 5yrs after the end of the Mau Mau rebellion ..
 
So why do you complain always when Tanzania refuses to cooperate with you?, why did you complain when we sent back hundreds of Kenyans who used to work and live in Tanzania illegally, why did you complain when we auctioned your cows, why do you complain when South Africa refused to remove visa for Kenyans?
boss, no Kenyan loses sleep over Tanzanian actions and stupidity,
 
Msumbiji na Zimbabwe walipomaliza vita, hata kabla ya kufanya lolote katika nchi zao, walijiunga na vuguvugu la kuzikomboa nchi zingine. Ninyi ni wabinafsi Sana, hamtoi msaada kutoka moyoni. Sasa mbona mnajikomba kuomba kufutiwa viza na South Africa?
Haya , sisi hatukupewa msaada wowote, na hatukupa mtu yeyote msaada, tunajua kujitegemea , kojoa ukalale
 
Hakuna nchi iliyokuja kutukomboa wakati tunapigwa na kuuwawa na Wakoloni. Zaidi ya Wakenya elfu hamsini walipoteza maisha yao kwa mikono ya wakoloni kwa hisani ya Wanahistoria. Tulipigana kivyetu hadi tukafanikiwa kuwafukuza. Nchi gani ya Afrika ilihifadhi maumau wetu wakipigania uhuru? Nchi gani ilihifadhi akina Kenyatta na wenzake wakipigwa na kufungwa jela zaidi ya miaka minane? Kwa hivyo wacha kulialia sisi tulijitegemea bila kulialia kama watoto eti nchi zingine hazitusaidii
Nigeria pia walipigana bila kusaidiwa lakini walisaidia nchi zingine, vivyo hivyo kwa Algeria, japo ni waarabu lakini walitoa mafunzo na silaha nyingi kwa ukombozi wa watu weusi kusini mwa Afrika, wao pia walipigana vita wakati wanadai Uhuru wao.

Cuba, walipigana sana wakati wa kudai Uhuru wao, lakini ndio wanaongoza kwa kupigana vita kusini mwa Africa, japo sio waafrika na wala sio watu weusi.

Ninyi ni watu wabinafsi hamfai kabisa kushirikishwa katika lolote hapa Africa. Magufuli anafanya vizuri sana akiwabania katika, 1)EPA, 2)Single tourists visa, 3)Tulipokataa kumchagua Amina Mohame AU, 4)Tulipozikamata na kuziuza Ng'ombe 5)Kukataa kuwaruhusu wakenya kutumia IDs kuingia Tanzania. Ninyi hamna UTU, lazima tupambane na ninyi.
 
Wakenya kila kitu wao hudandia tu, hawa bila aibu husema Kilimanjaro na ngorongoro ipo kwao

Back
Top Bottom