Wa Afrika Kusini wawakumbusha waKenya juu ya usaliti wao

Wa Afrika Kusini wawakumbusha waKenya juu ya usaliti wao

Tanzania iliwasaidia pia esp. TANU uliza Kenyatta gari yake ya kwanza nani alimnunulia na nani alilipa mwanasheria wake wakati anashitakiwa na serikali ya kikoloni!
Lete ushahidi wa haya madai yako na hadithi za kaka sungura. Kumbukumbu za Mau Mau zipo, isipokuwa Ethiopia na Emperor Haile Selasie, hamna nchi yoyote ya Afrika ambayo iliwapa hifadhi wala kuwasaidia Mau Mau. Mababu zetu wakimwaga damu msituni, wakipigana na beberu kwa mtutu wa bunduki na mabomu, nyinyi mlikuwa mmeketi kwenye meza moja na beberu mkimuomba aendele kuwa mkoloni kwa miaka miwili zaidi. FYI: Jomo Kenyatta hakula kiapo cha kujiunga na Mau Mau. Huwezi badilisha historia.
 
[emoji23][emoji23]usaidizi mgabi? au sio tumewapa na kiswahili bure kabisa lakini unaandika upumbavu hapa
Kiswahili kilianzia visiwa vya Mombasa, Zanzibar na Pemba sio huko bara la Tanzania unakoishi. Nyie wa bara mliiga kiswahili kutoka zanzibar nasi tukaiga kutoka Mombasa. Hakuna kiswahili mlichotupa.
 
Nigeria pia walipigana bila kusaidiwa lakini walisaidia nchi zingine, vivyo hivyo kwa Algeria, japo ni waarabu lakini walitoa mafunzo na silaha nyingi kwa ukombozi wa watu weusi kusini mwa Afrika, wao pia walipigana vita wakati wanadai Uhuru wao.

Cuba, walipigana sana wakati wa kudai Uhuru wao, lakini ndio wanaongoza kwa kupigana vita kusini mwa Africa, japo sio waafrika na wala sio watu weusi.

Ninyi ni watu wabinafsi hamfai kabisa kushirikishwa katika lolote hapa Africa. Magufuli anafanya vizuri sana akiwabania katika, 1)EPA, 2)Single tourists visa, 3)Tulipokataa kumchagua Amina Mohame AU, 4)Tulipozikamata na kuziuza Ng'ombe 5)Kukataa kuwaruhusu wakenya kutumia IDs kuingia Tanzania. Ninyi hamna UTU, lazima tupambane na ninyi.
Pambaneni tu nasi. Sisi hata hatujui ninyi ni akina nani. Sisi tuko busy kujenga uchumi wetu hata tunashangaa kusikia eti kuna watu mahali fulani wanakosa usingizi wakituwaza usiku na mchana. Kenya haiwezi kufa eti kwa sababu nchi hafifu na dhaifu kama Tz wameamua kufunga border. Wakati wa Nyerere mlifunga border na maisha yetu iliendelea tu kama kawaida. Ninyi hamna umuhimu wowote kwetu hata mahindi na bidhaa zingine mnayoleta huku tunaweza kuyanunua kutoka nchi zingine ikiwemo Mexico na Egypt. Sisi hatuwazi mambo ya East Afrika sisi tunafanya global trade. Majani chai yanaenda Pakistan na Egypt. Kahawa na textiles yanaenda USA. Maua yanaenda UK na Uholanzi. Vegetables yanaenda EU. Remittances pia tunapata kutoka Wakenya wanaoishi ulimwenguni kote. Sisi tunahitaji Tanzania kwa jambo lipi?
 
Hamuwezi kuishi bila Tanzania ninyi,

60% ya chakula kinatoka Tanzania

50% ya malighafi(raw materials) ya viwanda vyenu inatoka Tanzania.

70% ya bidhaa zenu, ama zibauzwa Tanzania, au hupitia Tanzania kwenda kuuzwa kusini mwa Africa.

Zaidi ya kampuni 500 za Kenya, zipo Tanzania.

We are the big brother in this zone.
 
Jana nimekutana na Malori kama 6 hivi yanatoa nyanya huku Kilimanjaro
 
Katika kile kinachotafsiriwa kama kuweka rekodi sawa, Wa Afrika Kusini wamekumbusha juu ya nchi zilizoisaidia katika kupambana na utawala wa kibaguzi waliopitia chini ya Makuburu.
Ukiwa ni muedelezo wa mjadala wa Xenophobia, Mkenya mmoja aliandaa makala na kuichapisha katika ukurasa wa Twitter. Kilichotokea ni kama ifuatavyo 👇👇👇View attachment 1212852View attachment 1212853View attachment 1212853
NAWASILISHA.
Fortunately, we Kenyans have never claimed of helping South Africa in any way. Meanwhile, you Bongolalas act as if South Africans should worship the ground you walk on yet here this girl is trivilizing your supposed help to mere temprary hosting with preconditions. It's you that should be sad. 😅 😅
 
And next time avoid cherry-picking. From the same tweet thread.

Capture.JPG
 
when our mau mau fighters were fighting the British Empire for over 6years, kikuyu ,embu and meru tribes were all put into camps , nani aliyetusaidia??? hii ujinga kutaka msaada wakati wote imefanya Africa kuwa maskini hohe hahe
1953 hakukua nchi gani ilikua huru
 
Kenge hao, kwanza ningekuwepo kipindi hicho ningewafurusha kabisa, Tanzania waliojifanya kiherehere cha kuwasaidia leo hii wanafurushwa na kucharangwa mapanga kama wengine wote, ndege zao zinakamatwa huko. Watanzania hupenda kujikombakomba sana kwa hawa Wasouth licha ya kukojolewa na kuonyeshwa kila aina ya dharau

Even though we Tanzanians have our weaknesses, but Kenyans have biggest problems .They have a xenophobia and afrophobia problems that based on ethnicities among themselves.

Disunity and segregation among themselves is the biggest concern.
 
Kumbe hata historia ya nchi yako huijui hahahahah waulize wazee wako hilo gari lilitoka wapi ilikua land rover tena
Eti Land Rover.
usaidizi mgabi huo sasa, zawadi kidogo 1963 hata kumbu kumbu yake hakuna, 5yrs after the end of the Mau Mau rebellion ..
Asikudanganye mtu, gari za kwanza za Mzee Jomo Kenyatta zilikuwa Mercedes Benz 300SE, mali ya GoK, Lincoln Continental(convertible) na Rolls Royce, zawadi kutoka kwa US business community jijini Nairobi. Zawadi ambazo baadaye zilizua mjadala mkubwa.
 
Eti Land Rover.
Asikudanganye mtu, gari za kwanza za Mzee Jomo Kenyatta zilikuwa Mercedes Benz 300SE, mali ya GoK, Lincoln Continental na Rolls Royce, zawadi kutoka kwa US business community Nairobi. Zawadi ambazo baadaye zilizua mjadala mkubwa.
thanks for the quote, hawa wadanganyika wanasoma historia yao wenyewe
 
Hamuwezi kuishi bila Tanzania ninyi,

60% ya chakula kinatoka Tanzania

50% ya malighafi(raw materials) ya viwanda vyenu inatoka Tanzania.

70% ya bidhaa zenu, ama zibauzwa Tanzania, au hupitia Tanzania kwenda kuuzwa kusini mwa Africa.

Zaidi ya kampuni 500 za Kenya, zipo Tanzania.

We are the big brother in this zone.
Wewe tingisha kichwa kidogo pengine una matatizo ya akili. Kenya tunalima vyakula vyetu. Hio 60% sijui umetoa wapi. Yaani hata umesahau kwa miaka mitatu mfululizo JPM amekataa kutuuzia mahindi. Halafu 2018 mvua ilinyesha vizuri hatukuimport vyakula vingi. Eti 70% ya export yetu inaenda Tanzania au SADC. Tingiza kichwa tena uhisi kama ubongo bado upo. Nishakueleza export za Kenya zinaenda EU, Pakistan na USA. Hakuna siku Kenya itakuja kuexport Maua SADC. Wacha kuota. Majani chai hakuna siku itaenda SADC. Kuota mchana sio nzuri
 
Back
Top Bottom