Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
- Thread starter
- #21
Kanisa katolic ndio iliamuru polisi toka zanzibar kuua watu hovyo kwa kuwafuata majumbani?Kuna habari za kiuchunguzi za kuaminika ambazo zinalihuaisha moja Kwa moja kanisa katoliki la Tanzania na machafuko na machafuzi yaliyoenea yaliyofanyika Tanzania. Huku wakisidia ya idara za usalama za Kenya na Rwanda Kwa kujua au kutokujua..
Hii inatokana na kanisa katoliki kuwa na chukia za wazi wazi Kwa Rais Samia Suluhu Hassan Kwa Sababu ya dini yake na jinsia yake na sehemu anayotoka. Na kanisa Lina historia ya kufanya hivyo kila kiongozi wa Nchi ya Tanzania anapokiwa Muislam. Na hiyo imedhihirisha wazi misa zao nyingi Sana kabla ya uchaguzi zililenga kuhubiri anti governance rhetoric..Kama walivyokuwa wakifanya wakati wa kikwete na Mwinyi.
Kwa nini chukia zao zimezidi Kwa Rais wa sasa. Habari za uhakika zinasema Serikali ya awake ya Sita ilikwenda against na interest za serikali, pale ulipokuwa kuipa DP world uendeshaji wa bandari Kwa upande mmoja au mwengine iliathiri moja moja mapato ya kanisa.
Na vile vile katisa katoliki lilikuwa kina operate as deep state Katika serikali ya JMT, lakini kuingia madarakani Kwa Rais Samia uwezo WA umekuwa mdogo MTU na kitu ambacho hawakipendi.
Na Sera Yao ya kuwakandamiza waislmu kupunguza nguvu, kwani walikuwa na competitive advantage walizopata kutokana Sera za ukoloni na kuendelezwa na Nyerere
Hayo yote yalipelekea Kwa kanisa directly au indirectly kushirikiana na idara za usalama wa Kenya na Rwanda ili kuleta Machafuko Tanzania na kupeleka kuiangusha serikali ya Rais Samia..
Kwani fake social media account nyingi Sana zinamilikiwa na RC, Kenya au Rwanda operative na vile vile RC Wana mikononyao Kwenye online TV nyingi Sana ambazo ziko against na rais Samia.
Kama hiyo haitoshi RC wanahusishwa na Ku channel moja Kwa moja pesa za mabeberu Kwa wanaharakati WA ndani ya nchi au NGOs za ndani ya nchi bazo ziko against na Rais Samia..
RC wanahusika Kwa ku host na Ku facilitate mikutano mingi Sana ya CHADEMA ndani ya taasis zao na wao ndiyo source ya income ya CHADEMA kwa.muda huu..
RC kupitia viongozi waandamizi wa serikali ambao wamekufa indoctrinated kupitia seminary zao ndiyo source ya Siri nyingi za serikali kuvuja, na wao pia ndiyo wafanyaji hujuma wakuu serikalini ilinkumfanya Rais Samia aonekane ame fail
Wito Kwa aeikalinywtu ailivu. Umefika wakati kuuvunja Ile MOU baina ya serikali na Taasis za kikristo Kwa hivi sasa zimeshakuwa security risk
Katolic ndio waliamuru bibi awafunge wapinzani wake ili yeye apate 98%?