Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
Haiwahusu !!Habarini wadau Mkuu wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda alitamka bei kupungua bei kuuzwa nusu ya bei ya awali. Ikumbukwe timu ya Taifa inaliwakilisha Taifa kwa ujumla na si Mkoa wa Dar es Salaam. Mkoa wa Dar es Salaam umeonyeshwa kupendelewa kwa kupewa promotion ya kushekerekea ushindi. Nauona kama mwanzo wa kuanza kuitenga Dar es Salaam na Tanzania ni vyema timu ya taifa itakaposhinda ushindi uonekane ni Wawatanzania wote na si kwa Dar es Salaam pekee......
Tunaoimba serikali isitutenge sisi wa Mikoani na timu ya taifa kama ni ushindi tanzania nzima tunywe bia kwa nusu bei sababu ushindi ni wa Watanzania wote.
Shukrani.
Hatuna haja na ofa makonda kazaliwa tunakunywa biaHahahaha hili la bia ,mnataka kukumbukwa ila mengine huwa mnawacheka
MTC | 101| [emoji769]
Mpaka kijerumaniSisi wa mikoani hatuna shida na bia sisi tumezowea baba a k a kimorali buku jero unaanza kuongea kingerez tuu mwanzo mwisho,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna njaaa na ukumbuke hakuna cha bure duniani ooohooo mtapakatwaUshasema mikoani .. teh teh.
Siyo kwamba hamna njaa, hamna maana.Hatuna njaaa na ukumbuke hakuna cha bure duniani ooohooo mtapakatwa
Kama wewe usivyo na maana mbele ya jamiiSiyo kwamba hamna njaa, hamna maana.
Nipo Dar.Kama wewe usivyo na maana mbele ya jamii
Kwa hiyo kama uko Dar na wewe unasherehekea ofa?Nipo Dar.
Ndiyo. Wewe si upo mkoa?Kwa hiyo kama uko Dar na wewe unasherehekea ofa?