TWIZAMALLYA
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 397
- 81
Katika shule ambazo nimesoma na kuenjoy maisha basi ilikua ni mkwawa lol!
Hakuna msosi ulikuwa unaninyima usingizi km wa kwa BABA NUSA kule mjini,
Wali wa makanyagio uliokuwa mtamu ila baada ya mda mchache njaa inauma!
Kitu ulanzi bana nilikuaga hata siujui nikaujulia mkwawa,
Bila kusahau raha ya wadada kuogea nje kwenye vibaraza vya bwenini lol!
ha ha ha aaah!! Yale maandazi kwa kweli yalikuwa yanatuumiza, unakula moja tu unashiba balaa na baada ya muda ni full usingizi....Sio wali wa pale Ilala kwa yule bibi? Afu vinyama vilaini sijui vilikuwa vya Wow wow wow.
Mmmh, maandazi ya Iringa bana, wanaumulia ulanzi baada ya dk 3 unasinzia kama mwehu lol.
Nasikia Chuwa ni dereva teksi hivi sasa...Mnakumbuka makanyagio vizuri,maana ni sehemu ambayo watu wengi tulikuwa tunapata mahitaji yetu mengi,hasa vitumbua kwa wale waliokuwa wanatoka kwenye familia zilizo na uwezo.Ulanzi kwa sana siku za Disco.mnakumbuka hiyo? mnamkumbuka chuwa mpishi?
Mi sikusoma pale,but kila siku jioni nilikuwa nazamia msosi messi nagonga bila kutambuliwa watu walijua nami mwanafunzi wa pale kisha huyoooooooo Ilala,real was funny that place wadada na zile skirt zao nyeusi
Katika shule ambazo nimesoma na kuenjoy maisha basi ilikua ni mkwawa lol!
Hakuna msosi ulikuwa unaninyima usingizi km wa kwa BABA NUSA kule mjini,
Wali wa makanyagio uliokuwa mtamu ila baada ya mda mchache njaa inauma!
Kitu ulanzi bana nilikuaga hata siujui nikaujulia mkwawa,
Bila kusahau raha ya wadada kuogea nje kwenye vibaraza vya bwenini lol!
Mnakumbuka makanyagio vizuri,maana ni sehemu ambayo watu wengi tulikuwa tunapata mahitaji yetu mengi,hasa vitumbua kwa wale waliokuwa wanatoka kwenye familia zilizo na uwezo.Ulanzi kwa sana siku za Disco.mnakumbuka hiyo? mnamkumbuka chuwa mpishi?
Mtivila ndio ilikuwa center ya Ulanzi, bt hivi sasa wanachuo wa pale mahali ni matozi balaa...
Halafu wale mliosoma Mkwawa mkachukue watoto wenu kule Makanyagio...
Heeee heeeee1@ Wifi Canta uko juu, lol...
Haki ya nani yale maini nahisi yalikua ya mbwa,mtu gani anajaza kiasi kile alafu bei ndio mmh!nahisi nilulaga ya mbwa aisee!Da yale maini sijui babanusa alikuwa hapati hasara au ndo tulikula vi mbwa