Wa Mkwawa High School complex tujikumbushe makanyagio

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
397
Reaction score
81
Mnakumbuka makanyagio vizuri,maana ni sehemu ambayo watu wengi tulikuwa tunapata mahitaji yetu mengi,hasa vitumbua kwa wale waliokuwa wanatoka kwenye familia zilizo na uwezo.

Ulanzi kwa sana siku za Disco.Mnakumbuka hiyo? Mnamkumbuka Chuwa mpishi?
 
Katika shule ambazo nimesoma na kuenjoy maisha basi ilikua ni mkwawa lol!

Hakuna msosi ulikuwa unaninyima usingizi km wa kwa BABA NUSA kule mjini,
Wali wa makanyagio uliokuwa mtamu ila baada ya mda mchache njaa inauma!

Kitu ulanzi bana nilikuaga hata siujui nikaujulia mkwawa,

Bila kusahau raha ya wadada kuogea nje kwenye vibaraza vya bwenini lol!
 
Unanikumbusha mbali sana,jamaa angu mmoja alikuwa anapenda kutembelea bweni la kike MAGEMBE EAST na WEST. Sikujua anafuatilia nini hasa maana hata girlfriend hakuwa naye kule. Baadaye tukagundua alikuwa anapita kuangalia mabinti waliokuwa wanaoga.

Sio wali wa pale Ilala kwa yule bibi? Afu vinyama vilaini sijui vilikuwa vya Wow wow wow.

Mmmh, maandazi ya Iringa bana, wanaumulia ulanzi baada ya dk 3 unasinzia kama mwehu lol.
 
Wali wa kwa mama Wile kule ilala...
Maandazi ya kwa Chua (nasikia yalikuwa yanaumuliwa kwa ulanzi), Nelkon (R.I.P)
Bweni langu Lumumba West na mwalimu wa bweni Mwalituke.
Hakuna sehemu niliyoinjoi maisha kama Mkwawa..........
 
Sio wali wa pale Ilala kwa yule bibi? Afu vinyama vilaini sijui vilikuwa vya Wow wow wow.

Mmmh, maandazi ya Iringa bana, wanaumulia ulanzi baada ya dk 3 unasinzia kama mwehu lol.
ha ha ha aaah!! Yale maandazi kwa kweli yalikuwa yanatuumiza, unakula moja tu unashiba balaa na baada ya muda ni full usingizi....
 
Mnakumbuka makanyagio vizuri,maana ni sehemu ambayo watu wengi tulikuwa tunapata mahitaji yetu mengi,hasa vitumbua kwa wale waliokuwa wanatoka kwenye familia zilizo na uwezo.Ulanzi kwa sana siku za Disco.mnakumbuka hiyo? mnamkumbuka chuwa mpishi?
Nasikia Chuwa ni dereva teksi hivi sasa...
 
Mi sikusoma pale,but kila siku jioni nilikuwa nazamia msosi messi nagonga bila kutambuliwa watu walijua nami mwanafunzi wa pale kisha huyoooooooo Ilala,real was funny that place wadada na zile skirt zao nyeusi
 
Mtivila ndio ilikuwa center ya Ulanzi, bt hivi sasa wanachuo wa pale mahali ni matozi balaa...
 
Kasimu nimekupenda gafla kwa hilo jina lamwisho... Dondokea PM bathi
 
Katika shule ambazo nimesoma na kuenjoy maisha basi ilikua ni mkwawa lol!

Hakuna msosi ulikuwa unaninyima usingizi km wa kwa BABA NUSA kule mjini,
Wali wa makanyagio uliokuwa mtamu ila baada ya mda mchache njaa inauma!

Kitu ulanzi bana nilikuaga hata siujui nikaujulia mkwawa,

Bila kusahau raha ya wadada kuogea nje kwenye vibaraza vya bwenini lol!

Da yale maini sijui babanusa alikuwa hapati hasara au ndo tulikula vi mbwa
 
Mnakumbuka makanyagio vizuri,maana ni sehemu ambayo watu wengi tulikuwa tunapata mahitaji yetu mengi,hasa vitumbua kwa wale waliokuwa wanatoka kwenye familia zilizo na uwezo.Ulanzi kwa sana siku za Disco.mnakumbuka hiyo? mnamkumbuka chuwa mpishi?

Twiza pale shaban west kulikuwa na choo kinaitwa open roof unakata gogo watu wanaokwenda makanyagio wanakuona hakina kuta ni matundu tu. Av enjoyed my stay @ complex
 
Mtivila ndio ilikuwa center ya Ulanzi, bt hivi sasa wanachuo wa pale mahali ni matozi balaa...

Kaka naomba kuweka sawa ule mtaa unaitwa MTWIVILA na siyo mtivila, ukiwa unatokea mkwawa kuelekea kihesa waweza pitia hapo kama ukiona kuzungukia taun uzush.
Kwa kweli makanyagio napakubali kwa wajasiliamali maana hivi majuz nilipita pale nikakuta maduka mengi na nyumba zenye standard flan zimejengwa ila mainly kwa ajili ya kupangisha wanachuo mfano kuna jengo sasa hivi linaitwa BIGBROTHER.
 
Back
Top Bottom