Sio wali wa pale Ilala kwa yule bibi? Afu vinyama vilaini sijui vilikuwa vya Wow wow wow.
Mmmh, maandazi ya Iringa bana, wanaumulia ulanzi baada ya dk 3 unasinzia kama mwehu lol.
Nasikia Chuwa ni dereva teksi hivi sasa...
Hahaha hahaha1Twiza pale shaban west kulikuwa na choo kinaitwa open roof unakata gogo watu wanaokwenda makanyagio wanakuona hakina kuta ni matundu tu. Av enjoyed my stay @ complex
Da yale maini sijui babanusa alikuwa hapati hasara au ndo tulikula vi mbwa
Hahaha hahaha1
Mie nilikuaga naisikia hii,kuna siku moja nikamuliza jamaa mmoja alikua kiongozi mwenzangu akaniambia ni kweli,
siku moja tukiwa tunakagua usafi mabwenn jmosi km kawa tulipofika sheby west ndio akanionyesha hiyo open roof dah!nilicheka sana japo inahitaji ujasiri kukata gogo live!
Halafu wale mliosoma Mkwawa mkachukue watoto wenu kule Makanyagio...
Yule naye nahisi ile sayansi yake ilikua inampeleka kubaya,japo nilisoma hgl but nilikua namjua na vituko vyake!Kuna mwalimu mmoja alikuwa anaitwa baunsa alikuwa anafundisha biology, alikuwa anachukua kinyesii pale lumumba anaweka shambani mbolea. Mahindi yake yalikuwa yanastawi sana
Mh! Mbona nilisikia amekufa?
Mie hiyo stail ya kadi sikuikuta,na hata mambo ya kuchota maji hayakuwepo maji yalikua yanapatikana mengi tu!Sijui kama wengine mlikuta mambo haya,chakula kilikuwa kinagawiwa kwa mtu aliye na foodcard.hiyo foodcard ilikuwa inatolewa kwa mtu aliyesomba maji ya kupikia ndoo kadhaa.Ole wako uende dining Hall(DH) bila foodcard halafu mlangoni ukutane na kiongozi wa DH aitwaye Mwakalindile A.K.A Never look,hapo siku hiyo itakuwa imekula kwako.Uji wenyewe ulikuwa unagawiwa saa kumi za usiku,kuna watu toka bweni la shabani Robert walikuwa mabingwa wa kuamka mapema. wakishamaliza uji jikoni ndio wanapiga kengere ya kuamsha watu waende kwenye uji.Pale wanakutana na surprise mpisha anaosha sufuria la uji.Mnakumbuka pia pale ARTIST CORNER?,pale ilikuwa mwisho wa maneno ,hasa katuni ya KAMJINGIJINGI.
Halafu wale mliosoma Mkwawa mkachukue watoto wenu kule Makanyagio...
Nilikuwa nikinywa chai ya kwa mzee chuwa na maandazi lazima nisinzie darasani. Yaani chai ilikuwa nzito ya maziwa kumbe kaongeza ngano na maandazi kaumulia ulanzi. Sitalisahau bweni langu la makongoro west ambapo wakati huo mwl mgimwa ndo mwl wa bweni
Mgimwa alikuwa ni rafiki yangu sana.Nakumbuka wakati fulani nyumba ya jirani yake iliungua kwa moto wakati huo Kamera za Kidigitali zilikuwa chache sana mimi na Yashika yangu nikawa niko bize kufotoa picha za tukio. Mpaka leo bado ninazo!!Mkuu Kibweka Mgimwa alikuwa pale Lumumba East, kumbe nawe ulikuwa complex and Casino..no wonder...
Sijui kama wengine mlikuta mambo haya,chakula kilikuwa kinagawiwa kwa mtu aliye na foodcard.hiyo foodcard ilikuwa inatolewa kwa mtu aliyesomba maji ya kupikia ndoo kadhaa.Ole wako uende dining Hall(DH) bila foodcard halafu mlangoni ukutane na kiongozi wa DH aitwaye Mwakalindile A.K.A Never look,hapo siku hiyo itakuwa imekula kwako.Uji wenyewe ulikuwa unagawiwa saa kumi za usiku,kuna watu toka bweni la shabani Robert walikuwa mabingwa wa kuamka mapema. wakishamaliza uji jikoni ndio wanapiga kengere ya kuamsha watu waende kwenye uji.Pale wanakutana na surprise mpisha anaosha sufuria la uji.Mnakumbuka pia pale ARTIST CORNER?,pale ilikuwa mwisho wa maneno ,hasa katuni ya KAMJINGIJINGI.
Mgimwa alikuwa ni rafiki yangu sana.Nakumbuka wakati fulani nyumba ya jirani yake iliungua kwa moto wakati huo Kamera za Kidigitali zilikuwa chache sana mimi na Yashika yangu nikawa niko bize kufotoa picha za tukio. Mpaka leo bado ninazo!!
Kulikuwa hamna taa chooni, kunajamaa wakati wa usiku alibanwa mkojo akakimbia kukojoa chooni wacha ammwagie jamaa mwengine alikuwa akieenda haja kubwa kojo la usoni
Mh! Mbona nilisikia amekufa?
Hahaha hahaha1
Mie nilikuaga naisikia hii,kuna siku moja nikamuliza jamaa mmoja alikua kiongozi mwenzangu akaniambia ni kweli,
siku moja tukiwa tunakagua usafi mabwenn jmosi km kawa tulipofika sheby west ndio akanionyesha hiyo open roof dah!nilicheka sana japo inahitaji ujasiri kukata gogo live!