TWIZAMALLYA
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 397
- 81
- Thread starter
-
- #41
Tehe tehe tehe kumbe wengi humu mmepita Mkwawa, mimi nilikuwepo wakati wa Mbao na ndugu yake Tende...
Nadhani tulikuwa wote......Na mie nimesoma pale enzi ya mbao atii,wakati tunaingia fom 5 ndio walianzisha matumizi ya kitende(kipaza sauti)kilitwaga ivo coz 2nd masta Tende alipenda kukitumia hata kikiwa kimekata betri na alikua anaondoka nacho kwake!
Aiseeeeee! inawezekana bana.......!Nadhani tulikuwa wote......
Yani bora ww acha tu,Namlaani aliyeibadilisha shule yetu kuwa MUCE....
Ngazi kumi na tano, kulikuwa hakufai kule, kuna kipindi nilipona kupanda kule baada ya kukamatwa na mwalimu Makwaya mjini. Bahati nzuri sikuwa maarufu na nilimtajia jina la uongo, sikuonekana assemble mwezi mzima hadi hali ya hewa ilipotulia..Yani bora ww acha tu,
Ilikua ikifika wakati wa karibia kumaliza shule roho inauma nikawa nataman hata nirudie!!
Katavi unakumbuka hukumu za ngazi 12 sijui 14 sikumbuki vizuri,ukitoka huko ni mawili either kuwa saspendedi au kufukuzwa,
Ulishawahi kupandishwa kule?
Ngazi kumi na tano, kulikuwa hakufai kule, kuna kipindi nilipona kupanda kule baada ya kukamatwa na mwalimu Makwaya mjini. Bahati nzuri sikuwa maarufu na nilimtajia jina la uongo, sikuonekana assemble mwezi mzima hadi hali ya hewa ilipotulia..
chizenga wewe ndo ulikuwa R. Kelly wetu kwenye disco la mkwawa.. ha ha haaawatu wa shaban robert west makanyagio kwao ilikuwa kama sebuleni tu!halafu wanakula maandazi ya makanyigio balaa mpaka wakajaza choo chao wakawa wanakuja kunya lumumba!jamaa kwa maandazi wale noma!