halafu mambo ya heater kuchemsha maji watu tulikuwa tunachemsha juu ya dari na kisadolini!heater yenyewe imechakaa imebaki waya tu!dah!ilikuwa balaa
chizenga wewe ndo ulikuwa R. Kelly wetu kwenye dialog la mkwawa.. ha ha haaa
Hahahaha!umenikumbusha mbali aisee,nakumbuka watu tukiwa mjin ukiona difenda nyeupe ni kukimbia tu maana ukikamatwa unapakizwa na shule huna,niliathiri mpaka nikiwa likizo dar nikiona difenda nyeupe nataka kukimbia!
We misonge umempatia tilly, kama namuona kavaa leather jacket yupo stage anaimba.
alikuwa na miwani yake ina vioo vya kijani..
Mlangoni mgimwa anafuatilia wenye ndoa, masebo kajichanganya ndani anazuia zero distance. Hahaaaa
enzi hizo 2nd master Ng'ui.."yah nimemuona Mbugi kwa macho yangu makanyagio"...
masebo ndio alikuwa kiboko na koti lake hilo hilo kila siku..." eh nimekukamata," ha ha haa
yeah, huku DH, unakutana na Makene waziri wa chakula na maneno yake ya kiswahili,akisaidiana na chua Poison,papillon ulikuwa Bweni gani?Kipindi hicho misonge machua, ila ulikuwa poa sana, footballer fulani
masebo ndio alikuwa kiboko na koti lake hilo hilo kila siku..." eh nimekukamata," ha ha haa
Bora sisi tuliokuwa tunajilia msosi wa DH na vimboga vya majani vya wale wake za walimu.
nakumbuka alikuja kulalamika mpaka Assembly, akidai alikuwa na shida ya kwenda mjini mkamlostisha..ha ha haaKuna siku tunaenda town 2po ndani ya daladala mwl mwakanemele alikuwa mwl wa bweni lumumba west akawa anasimamisha gari barabarani usawa wa danish tukamwambia suka mpite tutakupa nauli yake. Dereva alicheka akampita
yeah, huku DH, unakutana na Makene waziri wa chakula na maneno yake ya kiswahili,akisaidiana na chua Poison,papillon ulikuwa Bernie gani?
Mmemsahau mama Massawe jamani ! Mama alikuwa mnoko yule. Sijui hata sasa hivi yuko wapi
Nilikuwa sh east. Pale sh west common rum ilikuwa inaitwa gaza strip cjui iliendelea kuitwa hvyo
yeah, gaza strip, ulikuwa pamoja na Baby face?