Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Wanafaidi vya kikubwa
Kikubwa katika maisha ni kuwa na amani
Amani huipati bila kubwaga moyo
Moyo wangu moyo wangu sifa mpe Yesu
Yesu anakupenda wii
Wii na mimi nakupenda
Nakupenda pia wii wa mimi
mimi ni msela siwezi kwenda jela
Jela sio Mahalia pa wenye makosa, Bali wengine wamesingiziwa.
Nani?? Si hakimu
hakimu kala rushwa huyo.
huyo ndie raisi wa tanzania
Tanzania sio ile ya zaman.
Yesu kafufuka hajafufuka?