kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Tanzania ni nchi yenye vivutio vingi vya utalii dunianiZaidi ya watu asilimia 60 ni masikini Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ni nchi yenye vivutio vingi vya utalii dunianiZaidi ya watu asilimia 60 ni masikini Tanzania.
Tena ikumbukwe uhai haununuliwiMgonjwa akikosa tiba kutokana na mgomo wa madaktari hana uhai tena.
kawaida kwa wachambia gunzi kupelekea moto wake za watu na marafikiFumanizi sio jambo la kawaida.
Marafiki zake ni wezi wa kurakawaida kwa wachambia gunzi kupelekea moto wake za watu na marafiki
Kura ni haki ya msingi ya raia ambae amemua kutoa sadaka maisha yake kwa kiongozi ambae ameamini atamtimizia kile anachohitaji. 😂Marafiki zake ni wezi wa kura
Ushindi ni kwa watu wapambanajiAnachohitaji ni ushindi
wapambanaji wa MbejhaUshindi ni kwa watu wapambanaji
wapambanaji wa Mbejha
unazingua ndio nini akat ni MbeyaMbejha ndio nini mkuu, mbona unazingua!
Mbeya ndio inandikwa hivyo?unazingua ndio nini akat ni Mbeya
Hivyo? ni Kilugha cha kwetuMbeya ndio inandikwa hivyo?
Kwetu pazuuur nimeshapakumbuuukaHivyo? ni Kilugha cha kwetu
Arusha kwa Makonda
Hivyo? ni Kilugha cha kwetu
Hivyo? ni Kilugha cha kwetu
nimepakumbuka pia, sema Mbeya jiji la ki-waki sana, halina supermarket..!Kwetu pazuuur nimeshapakumbuuuka
Super Market hapa Mozambique zimefungwa kwasababu ya maandamanonimepakumbuka pia, sema Mbeya jiji la ki-waki sana, halina supermarket..!