hajafufuka ingawa tumeambiwa hivyo
hivyo wapaswa kuamini.
Kuamini naamini ila nitathibitisha vipi???
vip ukikuta kafufuka kweli?
kweli Tanzania ni nchi ya ajabu
ajabu gani tena?
wanalia nin wakati wenyewe ndo wamewachagua
Wote nyie mnacheza, Tanzania maisha ni magumu zaidi ya chuma.
Vijana ndo msingi wa taifa hili na mengine yote duniani
Wanasherehekea? au tayari wameshasherehekea sikukuu ya pasaka.
Kunywa ni kunywa mbaya ni kupoteza network
Upi kati ya hii hapa voda, sasatel, airtel na tigo?