poorbillionaire
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 424
- 239
Voda ndo mpango mzima manake ndo natumia network yake kuingia jamii forum
Inafunguka kwan umekuwa mlango huu?
Nakubali kuwa we ni beautiful lady tena pretty kwelikweli.
Kwelikweli kabisa me pia naunga mkono sio mguu
Mguu wako ni mzur kama wa wife wangu pia?
pia mim ni wife wa mtu.
mtu huyo hana jina
jina lake halitajwi ovyo.
ovyo unajishaua
unajishaua sana kawaida lakn.
lakini janeth mume wako si mwanyasi
MWANYASI is my husband ndio, duh had nimemtaja we noma.
noma sana unapogundua umesahau nauli nyumbani na uko kwenye daladala
daladala si itakua na abria namwomba mmoja wao.
wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini