neverthatserious
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 106
- 13
janeth1 ni jina langu, namanisha ni hodari wa kuruka.
kuruka kama kuku??
kuku kafanyaje tena?
Ubabe kwa ulimwengu wa sasa hauna nafasi
Michepuko haichagui kubwa wala ndogo
ndogo eh? ukipata shkuru
Jambo jema ni kuheshimu utu wako na wa mwenzio
Mwenzio kama hajiheshimu utamuheshimu vipi?
Hutaki tu ila ukweli ni kwamba heshima huletwa na kazi, heshima ya pesa ni ya muda tu
Kujidhalilisha ni kujitakia kwa kuchagua kazi dhalili
hili ni limjadala la kipuuzii nia yake kutupotezea muda