Diplomat Niwe
JF-Expert Member
- Apr 22, 2014
- 231
- 215
Kushinda nakuachia wewe janeth1
Janeth tumwachie Theo
Mimi ni zaid ya hao
Hao wambea tu achana nao
Nao walio mbele ndio wenye kufaidi
Lolote chochote hakuna zaidi ya k
Kazi ipo maana kila mtu anataka kuwa mshindi😕
mshindi atapewa zawadi?
Zawadi ya mshindi bado haijajulikana
Wengi wape
wape nini hapewi mtu hapa.
Hapa sasa tutachemsha
tukichemsha si vitapoa?
Vitapoa!? Aaah wapi haiwezekani kupoa kama kuna Moto wa uhakika.