Mwenyewe ndio mshindi
mshindi hayupo.
Hayupo !! kaenda wapi?
wapi tulikokutana?
Tulikokutana pananikumbusha mbali sana
sana tu naikubali jf.
Mujini dengue imepaharibu
imepaharibu mahala pazuri.
imepaharibu mahala pazuri.
Pazur ni nyumban
Nyumbani ni nyumbani hata pawe kichakani
Kichakan ni noma
Unajisaidia tu, dunia ya sasa usipojisaidia unadhani kuna mtu ataja kukusaidia?
Kukusaidia inawezekana ila itabidi ukubali kuliwa