Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
Yake nyumba na yangu nyumba hazifanani
hazifanani za jinsia tofauti ila jinsia moja zafanana
Murua ni tajiri wa zamani wa Newala
Kuzuri ndio lakini kunaitwa New World ila wenyeji walishindwa lugha ngeni
Ngeni ndio hujui kma imeletwa na meli
Meli ya MV Bukoba
bukoba wanatoa kozi ya keterero
Kabisa.., umenikumbusha hili ni jina la aliyewahi kuwa mbunge wa Kinondoni akiitwa Pita Kabisa, yu wapi?
Siyo Pita Kabisa! Aliitwa Peter Kabisa!
Mshindi ni wa mwisho
BBA kwa maana ya Bachelor in Business Administration au?Mwisho mwampamba alishiriki BBA