First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
BBA kwa maana ya Bachelor in Business Administration au?
Tatu serikali ndo mpango mzima. UKAWA oyeeAu tuungane na ukawa tupate serikali tatu?
Tatu serikali ndo mpango mzima. UKAWA oyee
Oyee na Oyoo! Ipi zaidi?
Zaidi ni ile uipendayo tu
Tu ni mshindo wa kitu kilichoanguka
Au tuungane na ukawa tupate serikali tatu?
Majini ni viumbe visivyoonekana kwa jicho la kawaida
Tatu ni namba ya ajabu sana
Haswa haswa ni kuwaacha wazinzibari wajitawale.
wajitawale kivipi?
Kivipi nitalijibu swali lako na huku kuna watu wanavunja Sheria ya kuanza na neno la mwisho aliloishia mwenzako? Sheria msumeno guys