Wa mwisho ndiyo mshindi

Tatizo ni kuwa ili upate kazi ni lazima uwe na vyeti hawaangalii uwezo wako wa kufanya kazi.wengi wenye vyeti hawajui kazi wanajua kuiba tu! kwahiyo tutegemee kuendelea kuwa masikini wa kupitiliza
 
Ukisikia mshahara umeongezeka utafikiri ni pesa kubwa kumbe elfu 5 au 10
 
Na wanaofanya makosa wakibainika wanaamishwa vituo badala ya kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu, still tutabaki poor
 
sometimes i feel like hite ma proffesional bt coz is ma like cna budi kuendelea nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…