Basi mi ndie mshindi maana ndio wa mwisho
Mtvbase ndio mshindi asiyekubali kushindwa si mshindani
Kushindwa ni msamiati ambao haupo kwenye kamusi yangu binafsi
Kamsi yako unamaanisha kumusi yangu
huijui ilipotoka hii Mada lakini mshindi anapewa mini?
min sketi, min bus, min kabang au min ipi unapewa?
Vyote vyote peaneni lakini kilicho changu msipeane
Msipeane vile Mungu amekataza