Uasi unaujua wewe?
Wewe ni bombu
bombu ndo nini tena?
Janeth Jackson au?
Yeye ndie mwanzo na mwisho
Mwisho jatujafika bado.
Jamani ili mshindi apatikane inabidi tuangalie mwenye comment nyingi.naam ni mimi
Kugombana na kuelewana ni jambo la kawaida
kawaida yenu wabongo.
Wabongo poleni.soko la karume limetutoka hivihivi
hivi hivi banda langu kimewaka moto
Moto wa chini au wa juu?
Juu, chini, katikati kote sawa. Bora tuu tu huo moto usiunguze kitu