Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Uma kijiko
uma na kisu ni silaha
Toa sifuri mbili
Umeharibu mchezo ahahahaha
"Nisepe" siyo kiswahili sanifu ila hatoki mtu hapa!!Ahahaaha nyani haoni kundule, tuliishia kwenye" nisepe" wewe umerudi kwenye kijiko!! Sequence hakuna kabisa nipeni ushindi wangu nisepe
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Scandinavia wamefulia kitambo, NGORIKA ndo Habari ya Mujiniphotocopy ya nini kitu original ni kutoka scandinavia.
Ufuta kalime peke yako uzidi kumtajirisha MO
Babycare hazina mpango kitu ni VaselineMujini kuna mambo! Eti kila mtu baby
Ahahaaha nyani haoni kundule, tuliishia kwenye" nisepe" wewe umerudi kwenye kijiko!! Sequence hakuna kabisa nipeni ushindi wangu nisepe
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kabang ni konokono tu mambo iko voda buku kwa siku nzima speed ni ya kimondoVaseline hizi tunazolainishia kabang?
mbozi kule wanapochuna ngozi?? Natamani hii thread ingekuwa kwa kiingereza.