Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Eneo lote hili ni kwa wote ila ww unataka kunibania
kunibania hiyo zawadi haitakusaidia kitu.
unaipata vipi zawadi ambayo hujaifanyia kazi bwana mdogo?Kitu nilichogundua kwako ni kuwa unataka kuhakikisha hii zawadi unaipata
unaipata vipi zawadi ambayo hujaifanyia kazi bwana mdogo?
Mdogo?,mtu anawatoto na wajukuu unasema mdogo!
Ufanano upi unaozungumzia wewe wakati video moja wameigiza vijeba wakiwa geto na nyingine maandunje.Mdogo-mdogo ni kati ya nyimbo zenye video nzur lakini ile video na kilichoibwa havina ufanano.
Ufanano upi unaozungumzia wewe wakati video moja wameigiza vijeba wakiwa geto na nyingine maandunje.
mkuu usicheke sana, kuipata hii zawadi lazima ufanye kazi ya ziadaMaandunje!!,nimecheka sana mkuu
mkuu usicheke sana, kuipata hii zawadi lazima ufanye kazi ya ziada
mkuu usicheke sana, kuipata hii zawadi lazima ufanye kazi ya ziada
hata kama ukiandika sentensi hazisomeki mwishoni, ila hii zawadi lazima tutailambaKazi ya ziada wapi,hii nang,oa kiulaini kabisa bila hata 簭月竹十
hata kama ukiandika sentensi hazisomeki mwishoni, ila hii zawadi lazima tutailamba
zawadi utapata tu iwapo unafuata kanuni za mchezo huu, hizo symbols umetumia haziruhusiwi, kinachoruhsiwa ni sentensi yenye maneno timilifu.Tutailamba kivipi nawakati mpaka sasa nimeshashinda maana umeanza na neno""hata""na wakati sio neno la mwisho katika kommenti yangu hapo juu,hahahha kubalini tu kwamba nimewashinda wote na mwenyeuzi inatakiwa anipe zawadi.
zawadi utapata tu iwapo unafuata kanuni za mchezo huu, hizo symbols umetumia haziruhusiwi, kinachoruhsiwa ni sentensi yenye maneno timilifu.
Maneno timilifu tena!🙄,haya bana naona zawadi mmeiwekea zengwe ngoja nisepe.
Nisepe ni neno la mitaan ambalo kimsing linakaribia kuwekwa kua neno rasim katika kamusi ya kiswahli na kutumika na watumiaji wa lugha hii adhimu
Mbili wapeleke hukoo hapa mpango ni serikali tatu